Sifa za mwanaume

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume, hivyo anakuwa hana sifa za:

a. Ushoga
b. Vijembe
c. Umbea
d. Kususa
e. Kusuta
f. Kupoteza muda kwa visivyomhusu
g. Umario
h. Kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I. Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU, kakataa kuoa aliyemtia mimba
j. Kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake, kama kuna pahala nimesahau muendelee.

NB: BE A MAN!
 
Tittle haiendan na content😄
 
Kukubali mimba kirahisi wakati mwanamke hujamuoa ni uboya. Ukizingatia sasa mapenzi hakuna ni biashara (kizazi cha kudanga) unakubali mimba kumbe mpo sita mnahudumia, na mimba iwe ya makubaliano siyo za kujitegesha., na kudanganya sipo ktk danger days au natumia birth control pills kumbe unategeshewa.
 
Kama unajua humwamini mwanamke yeyote na hupendi majukumu usishiriki ngono zembe.Mwanamke unamjua ana wanaume wengi unampiga peku...una akili kweli wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…