Dr Ahmed Albah-Shahwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 848
- 1,604
Swala la mimba ni la wote kwanini nae akubali upeku..?Kama hamzitaki mimba tumieni kinga. Huwa sielewi kauli ya kutegeshewa mimba ilhali mtu kala kavu akiambiwa habari za mimba anang'aka kategeshewa.
Mtuvumilie tu mana hata nyie hamjuagi mwataka nini.Wanawake wenyewe huwa hamjui mnataka nini
😳😳😳😳😳real man anatembeza makora kwa kila feminist ili heshima ibaki kwa masculinities kila siku na kila sehemu, sio habari za mfumo dume Ila ndio mwanaume inabidi awe hivyo mwanamke akizingua mabanzi mabanzi huku anamkandamiza na maneno "si nilikwambia usifanye hivi kwanini umerudi tena kufanya hivi?" Mabanzi mabanzi "kwanini umerudia kuchelewa kurudi kabla yangu si nakwambia mimi ndio inabidi niwe wa mwisho kuingia ndani ya nyumba hii?" Mabanzi mabanzi, "kwanini mtoto analia wewe hautaki kumnyonyesha kwanini humpi chakula chake huyu mtoto?" Mabanzi mabanzi,
[emoji23] Kwa nini?Hongera ila huyo jamaa sijua kama anapumua vizuri akiwa na wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuuHuu uzi nafkir umekaa kimkakati zaidi.
Enewei, Tafsiri ya MWANAUME ni pana kiasi. Ila cha msingi Awe na Marinda yote bila upotevu wa rinda hata moja.
Awe na uwezo wa Kunyanyua Uume wake kwa ufasaha zaidi.
Awe atleast ana uwezo wa kutafuta sh 100/200 kwa siku.
Hayo mengine ni Miscellaneous issues.
[emoji1787] jaman nilikuwepo nasubiri mualiko lkn holaaa[emoji7] dada yake mie nimeshangaa sikukuu zote sijakuona humu hata ukicomment, haya bia pilau na minyama ulitunyima hata salamu ya kinafiki ya kututakia heri ya krismasi na mwaka mpya [emoji848][emoji28][emoji1787]
[emoji23] tuliaa ndio kwanza gari imewaka.Mwaka umeanza kwa watu kuwa wakali sana !!!bora uishe tu[emoji26]
Au basi! Ilikua nizungumze jana leo ngoja nianze hapa🤣🤣🤣 Umeamkaje🤗😘
Uanaume sio kuingia mkenge tu mnatulainisha kwa kukimbilia uanaume ili mfanye mambo yenu Yapite!.. mfano mwasema mwanaume hatakiwi kununa so ufanye upumbavu nisinune ili unione kenge! Sasa mimi kiberenge nakuambia ukizingua nanuna ikibidi na mitama unakula ili kukupa adabu ambayo umekosa..Wacha wee
We soma vzuri uelewe nilichomaanisha.Swala la mimba ni la wote kwanini nae akubali upeku..?
[emoji23] ndio wanaume zetu hawa, Mungu atusaidie.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Tukitumia kinga mnasema sio tamu! Nawewe kwanini utege wakati unajua upo kwenye mimbamimba days...???
Na baba yako ni naniUpinde wewe
Mpenzi wangu ana amani sana na mimi huwezi amini. Hapa JF naweza onekana mkorofi lkn huko nje hata sipo hivi [emoji23] humu usiamini watu kabisa.Au basi! Ilikua nizungumze jana leo ngoja nianze hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeamkaje[emoji847][emoji8]
Eti na kinga sio tamu [emoji1787] na wewe kwan nini ukubali kwani huna akili? Mkikulana kavu jaman mjiandae kwa lolote sio mnakuja hapa et ooh nilitegeshewa kwan wakati unachomeka kavu ulitegemea nini? Acheni hizo bwana badae mnakuja tukana singo mama wakati nyie ndio mabingwa wa kukimbia mimba.Tukitumia kinga mnasema sio tamu! Nawewe kwanini utege wakati unajua upo kwenye mimbamimba days...???