Sifa za mwanaume

Single mother twadharaulika na single father wengi humu ndani....wasiozalisha ovyo watoto wa watu(wanaume sasa) wapo kimya
Hebu tuanzishe Uzi wa single father na vimbwanga vyao😂🤣
 
Yani unidunde kisa dagaa? Tutadundana aisee. Sifa nyingine ya mwanaume ni kumlisha mkewe nyama🤣🤣
 
Thread nzuri but kukirefer uumbaji utakuta sifa za mwanaume mrefu in nature zinakuwa tofauti na za mwanaume mfupi in nature na ndo wengi wanaume tunaishi ivo...kwahiyo mfano mwanaume akawa na tabia mojawapo hapo...kubadilika huwa mtihani sana anyway Thanks kwa kutukumbusha jinsi tunapaswa kuwa
 
Naona unatafuta sifa kwa wanawake wa jf.
 
😂😂😂😂mtarekebishana huko mbele ya safari my wangu sisi tunataka uoreweeeeee
Ety wanasema mwanaume pesa zake zake, zangu zake😂😂😂
Me nmemwambia pesa zake zangu zangu zangu ataki😂
 
Bas ngoja nasi tuyaweke waz mapungufu ya wanaume vibwengo maana tumewasitiri hamsitiriki
 
Hapo kusimulia wanawake aliowala nimecheka sana. Hizo stori ngumu sana kwa wanaume kutosimuliana. Ni trait fulani ya kuonyeshana umwamba katika sekta ya kuchakata mbususu. Muizoee tu.
 
Amina
 
Hapo kusimulia wanawake aliowala nimecheka sana. Hizo stori ngumu sana kwa wanaume kutosimuliana. Ni trait fulani ya kuonyeshana umwamba katika sekta ya kuchakata mbususu. Muizoee tu.
Hapana,wanaume hawasimulii mkuu
 
😂😂😂😂🚶🚶🚶
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna wanaume ni wanaume....mpaka kuwa nae unaogopa unahisi matendo yako ya nyuma kuwa nae unamkosea sana....Yaan unawaza kwanini hakuwa yeye before....Be a man mkuu
Nawe be a woman usiwe gube gube
 
Well said[emoji1490][emoji1490][emoji1490]unakuta mwanaume ana gubu la kike balaa mwanaume anaongea maneno yanamtoka kama kala mavi ptyuuuuu mwanaume unaongeaje hvo humezi mate….SOME MEN SHOULD MANUP THEMSELVES [emoji57]
Achana na mambo yao, fanya yako. Wao wameamua kuwa hivyo. Hata ukisema huku upo uchi hawatobadilika. Kimsingi haitokaa itokee tufanane.
 
Ni kweli ya singo maza hayamuhusu, its non of his business. Na wewe hayo uliyoandika kwenye uzi kuhusu wanaume hayakuhusu. Its their business, mind yours.

Wakiwa na mambo ya kike ni wao wameamua[emoji38][emoji38] na wanaona poa tu kuwa hivyo.

Mind yoh business[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…