Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Humu zimejaa thread za kukashfu wanawake hadi naanza kuona kama wanaume ni kama kuna fuse zimelegea.

Yani watu wanatelekeza watoto mitaani hakuna anaesema. Wanabaka kutwa ila hakuna anaesema. Wanawakatili wanawake ila hawayaoni. Yaani wao ni kukashfu tu. Af ukifatilia historia ya huyo mwanaume ni kama dishi lilichezaga. So wote wa design hiyo sku hizi nawavua vyeo. Mwanaume na akili zake timamu na noti mfukoni hana mda wa kudiscuss mapungufu ya mwanamke ambae ana uwezo wa kukuzaa.
Point
 
Mambo ya taikoni unayajua wewe mkuu,mi nakumbusha tu mwanaume kujitambua uanaume wake.Be a man...vichambo waachie kina Aisha mashauz.
To yeye bado uwezo wa hoja zako ni duni mno. Sasa wao wakiwa kama Aisha Mashauzi wewe inakuhusu nini? Ni wao wameamua na wanafurahia.
 
Eti na kinga sio tamu [emoji1787] na wewe kwan nini ukubali kwani huna akili? Mkikulana kavu jaman mjiandae kwa lolote sio mnakuja hapa et ooh nilitegeshewa kwan wakati unachomeka kavu ulitegemea nini? Acheni hizo bwana badae mnakuja tukana singo mama wakati nyie ndio mabingwa wa kukimbia mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmekutana na KENZY 😂🚶🚶
 
Ni kweli ya singo maza hayamuhusu, its non of his business. Na wewe hayo uliyoandika kwenye uzi kuhusu wanaume hayakuhusu. Its their business, mind yours.

Wakiwa na mambo ya kike ni wao wameamua[emoji38][emoji38] na wanaona poa tu kuwa hivyo.

Mind yoh business[emoji38]
Yote Tisa,kumi JUST BE A MAN
 
[emoji23]mi nilichokigundua wanaume wengi nguvu za kiume zimehamia mdomoni...aisee wanaongea mpaka wanatokota [emoji137]
Its them. They are happy with it. Sasa hutaki zihamie mdomoni au[emoji38] mind yoh business lady. Hutoweza kuwamaliza wanaume.
 
To yeye bado uwezo wa hoja zako ni duni mno. Sasa wao wakiwa kama Aisha Mashauzi wewe inakuhusu nini? Ni wao wameamua na wanafurahia.
Eti uwezo wa hoja,kama halijakugusa hata moja usingeandika.Be a man.Mwanaume kama mwanaume ana utu na utulivu.
 
[emoji15]are you serious? Jeshi kubwa? U can't be serious! Mbali na uchache wa wanaume kupitia sensa lakini kwa idadi ile iliyotolewa nusu yake ndo wanaume wengine wanapumuliwa na wanaume[emoji124][emoji124]
Mbona umekazania sana? Hata wakipumuliwa haiondoi ukweli kuwa ni wanaume. By the way ni starehe zao hazikuhusu[emoji28][emoji28] ila unafurahisha sana
 
Back
Top Bottom