Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Brother unawezaje kubishana hivyo na mwanamke? Inatosha mkuu, kaa kimya hutopungukiwa na kitu.
Na ndo mnaopofeli wanaume wengi weusi. Yaani mada zenye hoja za msingi mnashindwa kum reason mtu kisa mwanamke/nitaonekanaje/aibu. Ulaya sidhani kama wana huu upuuzi. Kwenye hoja za msingi huruma huruma na ujinsia unawekwa kando
 
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume, hivyo anakuwa hana sifa za:

a. Ushoga
b. Vijembe
c. Umbea
d. Kususa
e. Kusuta
f. Kupoteza muda kwa visivyomhusu
g. Umario
h. Kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I. Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU, kakataa kuoa aliyemtia mimba
j. Kusimulia wanawake aliowala (kusifia uzinifu)
k.......
l........
m......
Wanawake, kama kuna pahala nimesahau muendelee.

NB: BE A MAN!
Ati unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze)
Oh-za Unantaka?
Eti unanipenda? (basi nitongoze
 
Huwezi kuzuia mwanaume kumdharau single mom kamweee

Ni Sawa na kuzuia mwanamke kumdharau mwanaume asiye na kazi na anashinda vijiweni tu..

Kwenye soko la mahusiano na mapenzi

Kuna makundi yataendelea kudharaulika tu siku zote
1.mwanaume maskini asiye na kazi Wala assets
2.mwanamke malaya
3.mwanamke mwenye mtoto bila ndoa na baba mtoto hajafa.

Tena ukizungumzia real men ndo kabisaa huwezi kumkuta ata anamzingatia mwanamke mwenye mtoto.Binafsi sijawahi hata kuwaza km naweza kulala na mwanamke mwenye mtoto nje ya mke wangu Wala sijawahi kutongozA mwanamke mwenye mtoto wala kutamani kulala nae.Hisia zinaishaga nikigundua ana mtoto kama ambavyo kuna wanawake ukiwaambia sina kazi au gari basi hisia zinaisha hapo hapo .

Real woman ukimwambia huna kazi biashara yako imeishia hapo,wachache sana wanaweza kukuzingatia it's what it's.

Heshima nakupa ila hisia ndo daaah hapana
 
Na ndo mnaopofeli wanaume wengi weusi. Yaani mada zenye hoja za msingi mnashindwa kum reason mtu kisa mwanamke/nitaonekanaje/aibu. Ulaya sidhani kama wana huu upuuzi. Kwenye hoja za msingi huruma huruma na ujinsia unawekwa kando
Mie asili yangu (Arab) mwanamke ni wa kupuuzwa tu.
 
Huwezi kuzuia mwanaume kumdharau single mom kamweee

Ni Sawa na kuzuia mwanamke kumdharau mwanaume asiye na kazi na anashinda vijiweni tu..

Kwenye soko la mahusiano na mapenzi

Kuna makundi yataendelea kudharaulika tu siku zote
1.mwanaume maskini asiye na kazi Wala assets
2.mwanamke malaya
3.mwanamke mwenye mtoto bila ndoa na baba mtoto hajafa.

Tena ukizungumzia real men ndo kabisaa huwezi kumkuta ata anamzingatia mwanamke mwenye mtoto.Binafsi sijawahi hata kuwaza km naweza kulala na mwanamke mwenye mtoto nje ya mke wangu Wala sijawahi kutongozA mwanamke mwenye mtoto wala kutamani kulala nae.Hisia zinaishaga nikigundua ana mtoto kama ambavyo kuna wanawake ukiwaambia sina kazi au gari basi hisia zinaisha hapo hapo .

Real woman ukimwambia huna kazi biashara yako imeishia hapo,wachache sana wanaweza kukuzingatia it's what it's.

Heshima nakupa ila hisia ndo daaah hapana
Wewe ni Malaya na wewe ni mtoto wanjee na baba Yako yupo hai
 
Back
Top Bottom