Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Mwanaume kamili hatakiwi kuwa BAHILI
Sisi mabahili tunakubali kuwa siyo wanaume kamili na tunaupenda ubahili wetu na hela zetu. [emoji38]

Kikubwa tukipata genye tunapeleka moto tu basi. Hilo la kutokua wanaume kamili hatuna tatizo nalo.
 
Sasa je,yote hayo niendelee kujiaminisha kuna mwanaume hapo.Pole shost ...endelea kuwamanulia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji137]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi kuzuia mwanaume kumdharau single mom kamweee

Ni Sawa na kuzuia mwanamke kumdharau mwanaume asiye na kazi na anashinda vijiweni tu..

Kwenye soko la mahusiano na mapenzi

Kuna makundi yataendelea kudharaulika tu siku zote
1.mwanaume maskini asiye na kazi Wala assets
2.mwanamke malaya
3.mwanamke mwenye mtoto bila ndoa na baba mtoto hajafa.

Tena ukizungumzia real men ndo kabisaa huwezi kumkuta ata anamzingatia mwanamke mwenye mtoto.Binafsi sijawahi hata kuwaza km naweza kulala na mwanamke mwenye mtoto nje ya mke wangu Wala sijawahi kutongozA mwanamke mwenye mtoto wala kutamani kulala nae.Hisia zinaishaga nikigundua ana mtoto kama ambavyo kuna wanawake ukiwaambia sina kazi au gari basi hisia zinaisha hapo hapo .

Real woman ukimwambia huna kazi biashara yako imeishia hapo,wachache sana wanaweza kukuzingatia it's what it's.

Heshima nakupa ila hisia ndo daaah hapana
Ukweli ndo huu.
Hapo ni mchunguuu.

Duuuh kazi ipo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwishaaa kabisaaaa.
Nisamehe,u know that I love you....nilikorogwa ilibidi nichanike tu.❤❤TeAmo😘
 
Back
Top Bottom