Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Kabisa. Yaani mwanamke bwege anaona njia rahisi ya kumshinda mwanaume kihoja ni kumuambia unapumuliwa[emoji38]. Halafu wanawake vimbilikimo(vidumu) ndiyo wanakuwaga na hizi mambo.
😳😂😂😂😂....jaman...😂😂😂🙊
 
Mwambie huyo, ni vile tuu haijulikani, inasemekana ingekuwa watu wanapumuliana huo utamu wa hapo wangejilaumu sikuzote walichelewa Wapi, na ndo maana mapunga hawaachagi,

na ndo maana Sodoma na gomora iliteketezwa, sababu isingewezekana kuacha hio tabia, hivo dawa ilikuwa ni kuwafutilia mbali wote na kuanza upya. Hio tabia hata umuhim wanawake unakuwaga hamna Tena.
😂😂😂😂 just be a man....wanaume wanajulikana Dada angu
 
Nenda umuambie James delicious be a man uone utavochambwa, watu washanogewa, Utaonekana unaleta usiku tuu.
Kwanini niende mbali kote huko wakati punga uliyekaribu nakufahamu😂😂😂😂🙊
 
Ni kweli mwanaume ana utu na utulivu ila sehemu zingine unafeli sana to yeye ujue.
Umelianza ngoja tulimalize...wanaume walisoma na kujirekebisha ...wewe unataka tushindane kivijora...embu twende kaz cute
 
Umemaliza,ivo sina haja ya kujibishana nawe...ngoja nikanunue madera mawili moja lako na langu ndo tujibishane[emoji23][emoji23][emoji23]...daa maskini matumbo yetu ...yanabeba vitu vya ajabu
"daa maskini matumbo yetu ...yanabeba vitu vya ajabu"
[emoji115]
Wewe una tumbo kwani? Kumbe mpaka mambilikimo mna vifriza?

Aisee kwanza siwezi kuzaliwa na mama taahira kama wewe. Aisee ningekukataa asubuhi tu
 
Bas ngoja nasi tuyaweke waz mapungufu ya wanaume vibwengo maana tumewasitiri hamsitiriki
Ukweli mchungu mkuu, singo maza wa kizazi hiki ni mizinguo sana sana. Hamshikiki, hamvumiliki, hamsitiriki.

Zamani haikua hivi kabisa sijui mmepatwa na nini.
 
Ukweli mchungu mkuu, singo maza wa kizazi hiki ni mizinguo sana sana. Hamshikiki, hamvumiliki, hamsitiriki.

Zamani haikua hivi kabisa sijui mmepatwa na nini.
Tatizo masingo faza huwa mnarudi Kwa mikwaraa, kisingizio tulee mtoto wetu, vile wanawake tuna huruma tunajikuta tushachoma kambi
 
Kwanini niende mbali kote huko wakati punga uliyekaribu nakufahamu😂😂😂😂🙊
Tena sikuizi mapunga wamewazidi uzuri, mkizingua tunatemana na ninyi, Yani skuizi wanawake wapo wengi ko hamtushtui tunajichagulia tutakavyo Kwa uhuru wetu,

Sasa hivi wanaume ni Almasi tumekuwa adim, kwahiyo mtuheshim.
 
Tatizo masingo faza huwa mnarudi Kwa mikwaraa, kisingizio tulee mtoto wetu, vile wanawake tuna huruma tunajikuta tushachoma kambi
Basi tatizo ni nyie na sio sisi mkuu. Ukishawishiwa na ukashawishika shida inakua wewe ulieshawishika na sio mshawishi.

Scenario nyingi inakuaga jamaa likupiga mimba, akaikataa mpaka umejifungua akatokea msamalia kipindi ambacho uko apeche alolo. Amekulea wewe na mwanao, amekupa mtaji umekua bonge la mama town.

Yule kiumbe rafiki wa shetani anakuja kukurubuni mlee mtoto huku wewe ukijua fika anakudanganya na unaingia mkenge kweli.

Ukiachwa kotekote unaanza kulaumu wanaume, wakati akili yako ndio mbovu. Haichakati vyema.

Zibeni udhaifu wa kuwaza kwa hisia kama mleta uzi To yeye afanyavyo.
Huenda ana hoja nzuri ila kutetea hoja zake hawezi (kapanick), kazi kusema "BE A MAN".
 
😂😂😂😂 just be a man....wanaume wanajulikana Dada angu
Sawa baba angu, ila usijiskie sana, siku utakapoolewa na mke mwenzako ukizani umepata dume la ukweli, ndo utajua hujui, au hata huyo bwana Ako unayejiaminisha kwamba umepata dume la ukweli siku mnagonganishwa na kupigwa show wote ndo utafurahia ulichokitaka.
 
Sawa shogaangu😂😂😂😂🙉
 
Zibeni udhaifu wa kuwaza kwa hisia kama mleta uzi @To yeye afanyavyo.
Huenda ana hoja nzuri ila kutetea hoja zake hawezi (kapanick), kazi kusema "BE A MAN".
Nitetee hoja gani bro.Wanaume wote wameelewa somo.Mnaoweza kujibishana na siye ngoja tuvalishane vijora....ndo kwanza kunakucha
 
Tena sikuizi mapunga wamewazidi uzuri, mkizingua tunatemana na ninyi, Yani skuizi wanawake wapo wengi ko hamtushtui tunajichagulia tutakavyo Kwa uhuru wetu,

Sasa hivi wanaume ni Almasi tumekuwa adim, kwahiyo mtuheshim.
Sasa je,yote hayo niendelee kujiaminisha kuna mwanaume hapo.Pole shost ...endelea kuwamanulia.😂😂😂😂🙋
 
Ukweli mchungu mkuu, singo maza wa kizazi hiki ni mizinguo sana sana. Hamshikiki, hamvumiliki, hamsitiriki.

Zamani haikua hivi kabisa sijui mmepatwa na nini.
Bas subirini dawa iwakolee....tunawataka mkae kiume. Teh!
 
"daa maskini matumbo yetu ...yanabeba vitu vya ajabu"
[emoji115]
Wewe una tumbo kwani? Kumbe mpaka mambilikimo mna vifriza?

Aisee kwanza siwezi kuzaliwa na mama taahira kama wewe. Aisee ningekukataa asubuhi tu
Angejua angekunywa p2...kuzaa choko inahitaji moyo sana.😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom