Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ficha upumbavu wako basi.Ooo pole mtoto mzuri...wanaume wamecomment wamemaliza...hapa nipo kujibishana na punga...kwa wanawake wapo sana na kwa wanaume wapo kidogo
Kama una hasira za pua na mdomo, usianzishe uzi ili utukane watu.
Huu uzi utaishi muda mrefu sana, wapo wataocomment 2024. Lengo la kuweka bandiko hapa ni kuelimisha na kupata mawazo tofauti.
Sasa hizo fikra zako za kutaka kila mtu akubali kile ulichoandika, na asipokubali unamtusi, inaonesha wazi uwezo wako kufikiri ni mdogo kupindukia.
Huko shuleni sijui huwa unawafunza nini wanafunzi kama huwezi kucontrol hisia zako.