Sifa za mwanaume

Sifa za mwanaume

Ooo pole mtoto mzuri...wanaume wamecomment wamemaliza...hapa nipo kujibishana na punga...kwa wanawake wapo sana na kwa wanaume wapo kidogo
Ficha upumbavu wako basi.

Kama una hasira za pua na mdomo, usianzishe uzi ili utukane watu.

Huu uzi utaishi muda mrefu sana, wapo wataocomment 2024. Lengo la kuweka bandiko hapa ni kuelimisha na kupata mawazo tofauti.

Sasa hizo fikra zako za kutaka kila mtu akubali kile ulichoandika, na asipokubali unamtusi, inaonesha wazi uwezo wako kufikiri ni mdogo kupindukia.

Huko shuleni sijui huwa unawafunza nini wanafunzi kama huwezi kucontrol hisia zako.
 
Hahah punga ila anamla mumeo huenda. Na nowadays tunapenda kula nyuma coz ni kutamu mno. Mnawachukia mapunga sababu wanaharibu soko lenu. Mnasota hamuongwi tena[emoji38][emoji38][emoji38].

Yaani siku hizi robo kilo ya nyama ina thamani kulikl uchi wa mwanamke hatariiiii
Shost,sa na kibamia hicho unamkulaje aliyekukojolea?
 
To yeye naona kabisa umepoteza lengo la uzi wako kwa kejeli na vijembe vyako.

Acheni mambo za kuitana mapunga mimiamadiwenani acha kutweza utu wa mume wa To yeye hata kama humjui.

Ni tusi kumhusisha mwanaume na ushoga.
Kaka ungeanza kumuonya yeye. Ni yeye ndiye alianzq hizo habari. Pia sijamtweza mimi nimemuambia achunguze HUENDA tunamla kwenye clubs zetu
 
Huu uzi utaishi muda mrefu sana, wapo wataocomment 2024. Lengo la kuweka bandiko hapa ni kuelimisha na kupata mawazo tofauti.
Nilianza vizuri mmenifanya nimalize vibaya....na situlii...yaan situlii ....mshafufua ....yaan situlii
 
Ndo kwanza naanza amefufua vilivyolala....kujibishana na mwanamke mwenzangu si kaz kabisa.Namweshimu mwanaume mkuu
Unamheshimu huku unawaita mapunga!! Hizi platform zinawafanya mzuzuke kiasi hicho!?
 
Kaka ungeanza kumuonya yeye. Ni yeye ndiye alianzq hizo habari. Pia sijamtweza mimi nimemuambia achunguze HUENDA tunamla kwenye clubs zetu
😂😂😂ilikuwa lazima uumie maana sifa za kiume huna cute
 
Nilianza vizuri mmenifanya nimalize vibaya....na situlii...yaan situlii ....mshafufua ....yaan situlii
Aiseee mbombo ngafu. Wewe una siteres sio bure.

Acha nikomee hapa, mmeanza kuitana mashoga mnatukaniana wenza mwisho mtahamia kutukaniana wazazi wenu.

Haiwaongezei kitu, acheni hizo ishu aisee.
To yeye unafahamika kama ticha humu, huoni unatoa mfano mbaya.
Acheni hizo mambo aisee
 
Kukubali mimba kirahisi wakati mwanamke hujamuoa ni uboya. Ukizingatia sasa mapenzi hakuna ni biashara (kizazi cha kudanga) unakubali mimba kumbe mpo sita mnahudumia, na mimba iwe ya makubaliano siyo za kujitegesha., na kudanganya sipo ktk danger days au natumia birth control pills kumbe unategeshewa.
Hii imenikuta mara 2 nzima, japo sikukataa na mpaka leo nalea, ila wanawake wanakosea mnooo! Mwisho wa siku wanaumia zaidi wao japo sisi pia haituachi salama kiviiile

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Haiwaongezei kitu, acheni hizo ishu aisee.
@To yeye unafahamika kama ticha humu, huoni unatoa mfano mbaya.
Acheni hizo mambo aisee
Kwahiyo kufahamika teacher ndo nishikwe masikio na machoko? Never
 
Hii imenikuta mara 2 nzima, japo sikukataa na mpaka leo nalea, ila wanawake wanakosea mnooo! Mwisho wa siku wanaumia zaidi wao japo sisi pia haituachi salama kiviiile

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Mungu akubariki...siye wote ni binadamu no one is perfect mkuu
 
Hamna choko humu.

Mnaleteana hasira jf, si ajabu unaemtusi namna hiyo ni mtu wako wa karibu tu.

Haiwapunguzii kitu mkipuuza hicho mnachofanya.
Nimechoka kudharaulika wanawake kana kwamba tunawaomba hela ya mboga...na ninashukuru majibu yenu yanasaidia kujua tabia zenu pia.Sisomi pekeyangu .......Wanichore tu lakini saivi mie nitaenda hatua kwa hatua na MTU anayelenga kunidhalilisha ndani ya thread yangu.Thread haijakupendeza we kausha ili usionekane una mambo mengine zaidi ya uanaume.Wanawake humu wamekuwa na utu kuliko wanaume.Mi washanivuruga sitotulia katu from now on
 
Back
Top Bottom