Akuna mchezaji anayeitwa kibwabwa shomari, labda yuko nyumbani kwako atumjui sisiKumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Wananch hatuna ulimbukeni wa kuweka picha na video, otee mliona ,henonga ni Bora mno,. Ila Jana kibwana alifanya kaz yake nzurr pengez kwakeKumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Tabia za uke wenza hizi!!, Yaani hukuona mbadilishano wa hao three sweetors one husband??
Hukuangalia mpira? Alianza Morrison akapwaya, akaja sakho akapwaya na mwisho akaja kibu. Asee huyu KIBWANA SHOMARI ni hatari [emoji16]
KibudengaJuma Shaaban Kawaangusha Kwa Ku under perform Hivyo Wameona Wampe Sifa Za Mchongo Mchongo Ndugu 'Kibwabwa' Shomari...! Dogo bado Saaaana..!
Kudhibiti ni kuchezea watu rafu?
mtupie na video ya vikoi alivyovalishwa dada shomari kapombeKumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Rafu ni sehemu ya mchezo ndio maana zikawekwa kadi kwani nyie hamkupata kadi?Kudhibiti ni kuchezea watu rafu?
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.