Sifa za Uongo kwa Kibwana Shomari

Sifa za Uongo kwa Kibwana Shomari

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwana Shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
 
Tabia za uke wenza hizi!!, Yaani hukuona mbadilishano wa hao three sweetors one husband??

Hukuangalia mpira? Alianza Morrison akapwaya, akaja sakho akapwaya na mwisho akaja kibu. Asee huyu KIBWANA SHOMARI ni hatari 😁
 
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Akuna mchezaji anayeitwa kibwabwa shomari, labda yuko nyumbani kwako atumjui sisi
 
Y
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
Wananch hatuna ulimbukeni wa kuweka picha na video, otee mliona ,henonga ni Bora mno,. Ila Jana kibwana alifanya kaz yake nzurr pengez kwake
 
Tabia za uke wenza hizi!!, Yaani hukuona mbadilishano wa hao three sweetors one husband??

Hukuangalia mpira? Alianza Morrison akapwaya, akaja sakho akapwaya na mwisho akaja kibu. Asee huyu KIBWANA SHOMARI ni hatari [emoji16]

Simba ilikuwa mazoezini. Ilijaribu wachezaji wake wengi. Yanga hakuthubutu kabisa
 
Utopolo ni mabinga wa kuhamisha magoli, wanajua mechi ya jana simba alinyimwa penati ya wazi, mayele, djuma mpaka aucho walikuwa flop, kadi ya morison ikisababishwa na kuchezewa mchezo usio wa kiungwana na mwamnyeto, refa kushindwa kumpa aucho kadi
ili yote yasizungumzwe ndio wanatunga vistory vyao visivyo na miguu wala kichwa.
 
Juma Shaaban Kawaangusha Kwa Ku under perform Hivyo Wameona Wampe Sifa Za Mchongo Mchongo Ndugu 'Kibwabwa' Shomari...! Dogo bado Saaaana..!
Kibudenga
FB_IMG_16514636123779893.jpg
 
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwabwa shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video yake walau akifanya tackling hata 2 tu za maana.
Tumeona clip za Hinonga akiwadhibiti wachezaji kadhaa wa yanga. Tumeona Fei toto akiteguliwa nyonga na Chama.
Bila support ya video Kibwabwa ni utopolo kama mashabiki zake tu.
mtupie na video ya vikoi alivyovalishwa dada shomari kapombe
 
Hakuna sehemu kapombe kavalishwa kikoi... Ila kuna sehemu fei toto aliteguliwa nyonga
 
Attachments

  • 4919670-d3dde97ff9607edfb878a866582f44d7.mp4
    2 MB
Nani alileta madhara yoyote upande wa Kibwana

Back
Top Bottom