Sifa za Uongo kwa Kibwana Shomari

Sifa za Uongo kwa Kibwana Shomari

makolo habari zenu tunazo, baada ya mechi ya juzi kati tulio wakosa kosa sasa mmeamua kupiga kambi kwa mzee shomari mkimuomba kibwana asaini simba msimu ujao angali bado ana mkataba na wananchi, tena hii ni jaribio lenu la ya pili kwa huyu dogo, mshindwe na mlegee
Yaani Simba tusajili kiportable?
 
Watu wameshindilia magoli mawili huko lindi kwasababu beki wenu bora hakucheza leo. Angalieni msije mkaikosa nafasi ya pili tu
 
Ulikosa jero ya banda umiza ili ucheki mechi, unakuja hapa kuunga unga clip.

Next time nenda hata kwa jirani mwenye kisimbuzi cha azam upate uhondo.

Hata hivyo bado hujachelewa kesho ni ruvu shootng vs yanga , wahi mapema usiomba viclip kama leo.
Umetia aibu mkuu.
 
Umevuta yote?

FB_IMG_1650196273922.jpg
 
Back
Top Bottom