Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
- Thread starter
- #41
Yaani Simba tusajili kiportable?makolo habari zenu tunazo, baada ya mechi ya juzi kati tulio wakosa kosa sasa mmeamua kupiga kambi kwa mzee shomari mkimuomba kibwana asaini simba msimu ujao angali bado ana mkataba na wananchi, tena hii ni jaribio lenu la ya pili kwa huyu dogo, mshindwe na mlegee