Sifa za wanawake wa kiganda (Ugandan ladies)

Ulikua umesema vizuri ila ulipo taja kabila la wanyakole ndo umeaharibu, hiyo ndo kabila chafu na malaya kupita zote hawaogi wale wanajipaka samuri ya ngombe tu, kama unataka kufaidi bint wa Kiganda pata muislamu ni wasafi af wa pole na wastarabu sana, wengine wanajua kiswahili japo sio kama chetu.
 
Basi anawezakua mnyankole ila sasa nilitaka kujua wengi wao kwenye ndoa wanafaa au ndo ivo tena wanaroho mbaya?
Hawana shida wanawake wa kiganda. Kuna jamaa yangu mkurya alioa toto safi ya kiganda mwanamke daktari ana adabu, mzuri, mshepu kama wote. Ila jamaa mkono mwepesi. Mwanamke anapigwa lakini hasemi, sasa siku moja naona ana alama nikambana kumuuliza kulikoni. Uzuri nawajua baadhi ya ndugu zake ikabidi niwe tu mnoko. Yule mwanamke alikua na utiifu wa ajabu sana.
 
Kuna wanyankole wameelimika siku hizi
 
Kuna wanyankole wameelimika siku hizi
Wale ni washamba hata wakisoma bado ule ushamba wanao hata wakiwa na pesa bado ni wa chafu, si unaona m7 mwenyewe anatema makohozi mbele ya watu hata mbashara kwenye TV, huo ni ushamba na uchafu, je wale walioko porini na ngombe watakua wachafu kiasi gani.
 
Nimeacha kusoma ulipoaanza kuharibu lugha za watu....kama hujuwi lugha na unaandika kwa kuboronga unakuwa na maana gani? Hivi ukiandika kwa Kiswahili kuna tatizo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa sawa hapo ni sehemu ya kabaka huo ni mji wake mkui kuna chuo nilishawahi ku apply kinaitwa ndejje campus,
Nilikuwa naishi mtaa wa tatu kutoka hapo chuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…