Sifa za wanawake wa kiganda (Ugandan ladies)

Sifa za wanawake wa kiganda (Ugandan ladies)

Nimeacha kusoma ulipoaanza kuharibu lugha za watu....kama hujuwi lugha na unaandika kwa kuboronga unakuwa na maana gani? Hivi ukiandika kwa Kiswahili kuna tatizo?
Sa ka neno lilitamkwa kwa kingereza mi nifanyeje??
 
Kuna tofauti za kikanda za kikabila na za kitaifa
Ok tuseme wao hawaheshimu ndoa, au ni makatili ???
Maana nikiamua kuoa hii ni ndoa ya pili na nna watoto tayari so nataka nijipe assurance kwa wenye uzoefu na exposure
 
Heshima kwako mkuu ... niko hapa nasubiri busara zako
1. Kuna ndugu zetu Wazaramo na mila za kuchezwa ngoma, sherehe za kila weekend na dhana ya mafiga matatu
2. Kuna kabila kwao kipigo ndio upendo
3. Kuna watu kama wachina wao hawajui swala la extended family na mwanamke ndio mshika mikoba yote

Ndoa ni ya watu wawili, mkeo anaweza asiwe na shida yoyote lakini ndani ya ndoa mila na desturi haziepukiki na ndani ya ndoa lazima kutakuwa na muingiliano wa ndugu wa pande zote! Shida itaanzia hapo
 
Watu washatambaa mpk na aliyekuwa mke wa Idd Amin
Maisha haya🤣🤣🤣🤣🤣.
Wengine
Tumusiime-munyankole
Lilikua zuri hili janamke
Lainiii shepu sasa.
Aisee tatizo lilikuwa linapenda sana hela.
Mi nilikua nagonga kisela tu
Nikawaachia mapedejee
atakua kafa na ngoma

Angel toka hapo kampala
Huyu akiniona atafyonya mpk Anaondoka .
Nilichomfanya anakijua
 
1. Kuna ndugu zetu Wazaramo na mila za kuchezwa ngoma, sherehe za kila weekend na dhana ya mafiga matatu
2. Kuna kabila kwao kipigo ndio upendo
3. Kuna watu kama wachina wao hawajui swala la extended family na mwanamke ndio mshika mikoba yote

Ndoa ni ya watu wawili, mkeo anaweza asiwe na shida yoyote lakini ndani ya ndoa mila na desturi haziepukiki na ndani ya ndoa lazima kutakuwa na muingiliano wa ndugu wa pande zote! Shida itaanzia hapo
Sasa mkuu mbona unazunguka?? Kwann usiwapoint hawa ba nyankole wakoje??
 
Sijawahi kufika but trust me Bongo kuna watoto wakali asikwambie mtu.

Kuna member mmoja ivi karibuni kaleta uzi humu baada ya kwenda Rwanda akidai wale wanawake mnaowasifia kwenye mitandao hajawaona, utafute.

Wanawake wa Bongo chukueni maua yenu
Ili linawezekana tuwape tuu maua yao tena yenye miba
 
Ndugu wananchi ....

Bwana kwenye pirika pirika zangu za kuachika nimejikuta nimenasa kwa mtoto bint wa kiganda.
Huyu binti ni binti kweli kifua kimesimama,miguu nyama figure nyembamba kifupi ni wa kawaida ila anamvuto kwenye mapenzi.

Hajui kiswahili sema wabongo washa advance wanapeleka umbea kwa lugha yeyote siku hizi ivo alichoimba konde boy kweli tuwafiche tuu (namfichaa) maana walishampa habari zangu na mabalqa ya kuzusha zamani wakati mi nilimficha.

Msichana huyu alinisumbua kidogo kumpata, isingekua kusoma tution cuba nisingempata...

Kilicho nivutia.
1. Anamsimamo wa dini, siku moja walimtumua church kisa alivaa nguo fupi (japo kunawengne wanavaa fup zaid) lakini yeye alilichukulia swala lile very positive na kunishangaza kwakusema "those who loves, will tell you the thrue no matter it heart how much" alibadili na kufurahia ibada.
2. Alinisumbua saana kwenye kumzangamua japo diploma ya cuba iliinisaidia akaliwa... kwa shart la kupima ngoma na homa ya ini.
3. Sio goldiger
4. Hard worker
5. Anaheshima na hofu

Binafsi namuona ka ndiye mke wangu ndoa yangu ya pili sa kabla sijaamua kuoa niongezeeni sifa kuu za wanawake wa kiganda na je ni watunzi wa ndoa na familia?

Karibuni....
Maji anayo 😁😁
 
Back
Top Bottom