Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #81
Sa ka neno lilitamkwa kwa kingereza mi nifanyeje??Nimeacha kusoma ulipoaanza kuharibu lugha za watu....kama hujuwi lugha na unaandika kwa kuboronga unakuwa na maana gani? Hivi ukiandika kwa Kiswahili kuna tatizo?
Utofauti wa mila hata bongo upo ishu ni je Tofauti zinavumilika???Mila tamaduni na desturi.. Ila kama akiwa flexible mtaishi
Kuna tofauti za kikanda za kikabila na za kitaifaUtofauti wa mila hata bongo upo ishu ni je Tofauti zinavumilika???
Ok tuseme wao hawaheshimu ndoa, au ni makatili ???Kuna tofauti za kikanda za kikabila na za kitaifa
Sio hayo nitakupa mifano ngoja nitulieOk tuseme wao hawaheshimu ndoa, au ni makatili ???
Maana nikiamua kuoa hii ni ndoa ya pili na nna watoto tayari so nataka nijipe assurance kwa wenye uzoefu na exposure
Heshima kwako mkuu ... niko hapa nasubiri busara zakoSio hayo nitakupa mifano ngoja nitulie
1. Kuna ndugu zetu Wazaramo na mila za kuchezwa ngoma, sherehe za kila weekend na dhana ya mafiga matatuHeshima kwako mkuu ... niko hapa nasubiri busara zako
Sasa mkuu mbona unazunguka?? Kwann usiwapoint hawa ba nyankole wakoje??1. Kuna ndugu zetu Wazaramo na mila za kuchezwa ngoma, sherehe za kila weekend na dhana ya mafiga matatu
2. Kuna kabila kwao kipigo ndio upendo
3. Kuna watu kama wachina wao hawajui swala la extended family na mwanamke ndio mshika mikoba yote
Ndoa ni ya watu wawili, mkeo anaweza asiwe na shida yoyote lakini ndani ya ndoa mila na desturi haziepukiki na ndani ya ndoa lazima kutakuwa na muingiliano wa ndugu wa pande zote! Shida itaanzia hapo
Sijawahi kufika but trust me Bongo kuna watoto wakali asikwambie mtu.umewahi fika Rwanda
Ili linawezekana tuwape tuu maua yao tena yenye mibaSijawahi kufika but trust me Bongo kuna watoto wakali asikwambie mtu.
Kuna member mmoja ivi karibuni kaleta uzi humu baada ya kwenda Rwanda akidai wale wanawake mnaowasifia kwenye mitandao hajawaona, utafute.
Wanawake wa Bongo chukueni maua yenu
Maji anayo ππNdugu wananchi ....
Bwana kwenye pirika pirika zangu za kuachika nimejikuta nimenasa kwa mtoto bint wa kiganda.
Huyu binti ni binti kweli kifua kimesimama,miguu nyama figure nyembamba kifupi ni wa kawaida ila anamvuto kwenye mapenzi.
Hajui kiswahili sema wabongo washa advance wanapeleka umbea kwa lugha yeyote siku hizi ivo alichoimba konde boy kweli tuwafiche tuu (namfichaa) maana walishampa habari zangu na mabalqa ya kuzusha zamani wakati mi nilimficha.
Msichana huyu alinisumbua kidogo kumpata, isingekua kusoma tution cuba nisingempata...
Kilicho nivutia.
1. Anamsimamo wa dini, siku moja walimtumua church kisa alivaa nguo fupi (japo kunawengne wanavaa fup zaid) lakini yeye alilichukulia swala lile very positive na kunishangaza kwakusema "those who loves, will tell you the thrue no matter it heart how much" alibadili na kufurahia ibada.
2. Alinisumbua saana kwenye kumzangamua japo diploma ya cuba iliinisaidia akaliwa... kwa shart la kupima ngoma na homa ya ini.
3. Sio goldiger
4. Hard worker
5. Anaheshima na hofu
Binafsi namuona ka ndiye mke wangu ndoa yangu ya pili sa kabla sijaamua kuoa niongezeeni sifa kuu za wanawake wa kiganda na je ni watunzi wa ndoa na familia?
Karibuni....
Yakuoga kabisaaaMaji anayo ππ
Eeeeh me hua naona wahaya na waganda ni sawa tofauti tabiaYakuoga kabisaaa
Apo kwenye tabia naomba nisanue basiEeeeh me hua naona wahaya na waganda ni sawa tofauti tabia
Waganda wanajielewa sana.Apo kwenye tabia naomba nisanue basi
Hata mi nimeliona ilo sema wana wamenitisha saana humuWaganda wanajielewa sana.
Wametisha kivipi?Hata mi nimeliona ilo sema wana wamenitisha saana humu
Mkuu na Mimi nimekaa Nndeba marneo ya Fao huku. Waganda nimewaona ila wanapenda western life. Uzungu MwingiDuh ni huko huko Mengo district.. Tulikutana kiwanja kinaitwa Plan B