Sifa za wanawake wanene au wafupi

Sifa za wanawake wanene au wafupi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:-
  • Wavumilivu katika mahusiano
  • Wana wivu sana kwa waume zao
  • Wanapenda sana tendo la ndoa
  • Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi wanajua kung'ang'ania
  • Hawavutiwi na pesa kwenye mahusiano
  • Wanavutiwa sana na shoo za kibabe
Kwako baharia, kama unataka ufurahie mahusiano tafuta mwanamke mnene au mfupi ufurahie maisha
 
Back
Top Bottom