Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:-
- Wavumilivu katika mahusiano
- Wana wivu sana kwa waume zao
- Wanapenda sana tendo la ndoa
- Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi wanajua kung'ang'ania
- Hawavutiwi na pesa kwenye mahusiano
- Wanavutiwa sana na shoo za kibabe