Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

Jamaa watfutaji sana huko nilienda kwa ajili ya shughuli za migodi!nkajikuta najifunza kuhusu kilimo cha ufuta maana jamaa walikuwa wanapiga hela sana....
Sifa kubwa ya Kondoa ni mbili..

1. Watafutaji
2. Wala Gomba
Si
 
Kondoa pazuri sana,tembelea pia michoro ya mapangoni eneo la Kolo.Pale Kelema jaribu kula ndege ni watamu sana.
 

Attachments

  • 1452887576721.jpg
    41.7 KB · Views: 197
binafsi nimefanikiwa kufika salama jana jioni kondoa nikitokea dom kwa usafiri wa boxer
 
NILISAHAU KUWATAHADHARISHA, WANA UCHAWI WAO FULANI UNAITWA KICHUNGA,KAMA UKIMUAHIDI BINTI WA HUKU KUWA UTAMUOA HALAFU UKAZINGUA, WANAKULOGA NA HAUTAENDA HAJA KUBWA WALA NDOGO KWA SIKU ZISIZOPUNGUA 17, BAADA YA HAPO UTA R.I.P MAANA HAKUNA NAMNA.

NAMNA YA KUJIKINGA NI KUTOMUACHIA BINTI WA HUKU KITU MFANO BAADA YA TENDO AKIKUFUTA AKAONDOKA NA KITAMBAA HICHO IMEKULA KWAKO, AKICHUKUA BOXER YAKO PIA ANAKUPOTEZA.

AKIKUHURUMIA SANA ANAFANYA SIJUI NI KITU GANI ILA HUTAWEZA KUPATA MWANAMKE YEYOTE HATA WA KUNUNUA, YAANI HATA MALAYA ANAWEZA KUKUKATAA WAKATI HUO NGUVU ZAKO ZINAKUWA ZIPO VIZURI KABISA. HII ILIMTOKEA JAMAA YANGU MMOJA AMBAYE ALIISHI NA HILO TATIZO TANGU AKIWA FORM 5, KAMALIZA CHUO MWAKA WA TATU, AMEANZA KAZI MWAKA WA PILI AKAPATA TIBA, WIKI ILIYOFUATA ALIOA.
 
Hahahahahaha mkuu umenikumbusha mbali sana ni kweli huu uchawi upo nikiusikia sana ila kwenye kumuahidi binti utamuoa sio sana ila ww tembea na mke wa mtu uone au mpe mimba alafu usimuoe uone,
Tena hizo siku ulizotaja ww nyingi sn yani ukipigwa juju jumamosi hii ukifika jumamosi ijayo kachinje jogoo,
Ogopa sn mambo ya kunyoana mavuzi akiondoka na mavuzi yako, akikufuta akaondoka na kitamba au condom au chupi lako umekwisha
 
Ogopa sn mambo ya kunyoana mavuzi akiondoka na mavuzi yako, akikufuta akaondoka na kitamba au condom au chupi lako umekwisha

Ni hatareee akipata clue imekula kwako, ndo maana jamaa yangu mmoja ndom huwa anaziweka mfukoni anasepa nazo akazitupe mahali salama
 
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....

Ovaaa
Huu mkoa wa kondoa unapatikana nchi gani?
 
Kondoa pako poa sana ukienda utakarimiwa vyema wale wenyeji hawana tabu lodge pia ni reasonable price pia chakula
 
Mkuu wewe kweli ni balozi wa Dodoma. Heshima kwako.
 
Hawa na wanyaturu wanafanana kila kitu had tabia.yaan yaan unaweza piga mama na watoto wake wote hlf wenyewe wanaona poa tu.na wanakeketwa
 

Unataka kumpa long route.
Ukitoka Mrijo badala ya kwenda Kiteto anakuja kushoto hadi Chekanao, baada ya hapo anakwenda hadi Matui then Engusero. Anakutana na ile Barabara inayotoka Kiteto. Atanyoosha nayo hadi mkoka na kuunga njia panda Narco. Kushoto mji wa kwanza kibaigwa na baadae Gairo.

Kulia kwenda Dodoma utaanza na Chalinze
 
Halaf kwenye mambo yetu yale n wakarimu sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…