Urahisi wa kumpata mtu hautokani na kabila bali mazingira yanayomzunguka ...Mwanamke wa kirangi ni rahisi kumpata kuliko mkwere na mzaramo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Binafsi ukinipa mrangi na nyoka......naua mrangi naacha nyoka aendelee kuishi.
Naomba kujua Umbali wa Miji ya Kondoa na Kiteto Manyara bila kusahau Kiteto kuelekea Handeni.Wewe unachanganya na wagogo
Ulifeli nn somo la maarifa ya jamii??
KondoaHivi warangi wanatoka Kondoa au Singida?
Kondoa > Kiteto = Km 177Naomba kujua Umbali wa Miji ya Kondoa na Kiteto Manyara bila kusahau Kiteto kuelekea Handeni.
Kila la kheir lakini usiloweke ndugu nimejaribu kuwaza kwa sauti.ngoja niende huko
mkuu wacha nikajionee huu ufahari waoKila la kheir lakini usiloweke ndugu nimejaribu kuwaza kwa sauti.
Yaani kiteto na kondoa ni kama dar na kibaha tu...kuna warangi wengi sana kule kiteto tatizo ni barabara tuNaomba kujua Umbali wa Miji ya Kondoa na Kiteto Manyara bila kusahau Kiteto kuelekea Handeni.
Asante sana ukanda huu ukinganishwa kwa Lami utakwamua sana Uchumi kwani pia ni maarufu kwa kilimo na UfugajiKondoa > Kiteto = Km 177
Kiteto > Handeni = Km 225
Hapana 177 KM ni sawa na Dar Mikese Moro au Dar Mkata Handeni Tanga bado Sio tarmac roadYaani kiteto na kondoa ni kama dar na kibaha tu...kuna warangi wengi sana kule kiteto tatizo ni barabara tu
kibaha toka Ubungo ni Km 22 tuYaani kiteto na kondoa ni kama dar na kibaha tu...kuna warangi wengi sana kule kiteto tatizo ni barabara tu
Kuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....
Ovaaa
Duh naona umenisiliba vya kutoshaSifa ya ummalaya mnayo mpaka kesho kwanini hamumuogopi mungu nyinyi warangi? Uzinzi mnageuza chakula?
Duh hii kweli KondoaKondoa Tamu bana. Unaanza na Chandama . hapa kuna watoto Wa kirangi wazuri. Lkn watoto wa Chandama ni Wa rangi weusi hawa ni wale wanaoitwa Wa Rangi Wa Chemba.
Sifa za wanawake weusi Wa ki rangi ni wapole sana lkn ukiwauzi wanaweza kukuua.
Kuanzia "Aneti " mpk kondoa mjini hapo jiandae Kula Vindege. Wa rangi ni maaruf kwa kuwinda ndege Wa polini na kuwa kaanga vizuri kabisa kisha wanauzia abiria wanaotoka na kuingia Kondoa. Vituo vingi utakavyopita utakuta nyama nyingi za ndege kiliko ng'ombe na mbuzi.
Ukifika Kondoa mjini sasa . Mavazi rasmi ya kina mama ni Ma dera na starah yaani wanapiga shungi.
Na Kila Ijumaa ndio sikukuu kwa wakazi Wa Kondoa. Mji mzima unafurika Watu kutoka vijiji vyote vya kondoa wanakutana Katikati ya mji kwa kipika mbali mbali. So km utakua unataka Wanawake Wa kujiburudishia basi siku iyo ni wengi mnooo .
Sifa ya Mji Wa Kondoa ni mji ulio kimya sana , hakuna sehem za starehe kwa kuwa nature ya wakazi Wa pale wengi ni watu Wa kufanya ibada. Kuna miskiti kila mtaa lkn pia kila mkazi Wa kondoa ni mfanya biashara.
Tarajia kuona daraja la kamba la mjerumani karibu kabisa na gereza la kondoa , lakini pia Tarajia kuona m buyu wa kihistoria ulio katikati ya mji ambao Tan roads walishindwa kuukata ili wapitishe barabara kutokana na Maajabu yake.
Mbuyu huo huo ndio ulipelekea kuhamishwa kwa stendi kuu ya mabasi kondoa kuwekwa eneo jingine.
Tarajia kupendwa na Mwanamke Wa kirangi kirahis sana km utamnunulia kiatu kizuri , dera au cheni.
Tarajia ku logwa ukila mke wa mtu kondoa.
Lkn pia Tarajia upinzani wa hali ya juu ktk siasa kwa kuwa wakazi wengi Wa kondoa ni wafuasi wa chama cha CUF.
Km hujaoa ni rahis kupata mke bora kondoa ila ukikosea kuchagua utaopoa mwanamke ambae atakufanya uwachukie wanawake wote duniani.
Ni wazuri sana km Wa mbulu , wasomali ,wanyaturu au Wa habesh Wa Ethiopia.
Nenda salama Kondoa.
Wewe mpotoshaji.Michoro ya Mapango haipo Kondoa Mjini. Ipo mbali sana sehem moja inaitwa PAHI .
Tafsida hiyo,Mkuu hapo kwenye maji Mara moja umemaanisha nini?
Waboha sana ae [emoji23]ja nini ae
Nokona haha ikabila rakuree mpaka kunu mitandawi sha mwana makaMuwiire uwo mwanawiito.
Hili nakupinga asee nimekaa huko even short time.Mwanamke wa kirangi ni rahisi kumpata kuliko mkwere na mzaramo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Binafsi ukinipa mrangi na nyoka......naua mrangi naacha nyoka aendelee kuishi.