Kaka spencer kwema?..i see u brooKondoa kuna Warangi kama unatoka Dom basi ni ukitoka Makutupora kuna pori. Ndani ya pori kuna kijiji center linaitwa Chanene na Baadae Anneti kuanzia huko warangi tu kiongozi.
Asubuhi wanasalimia - ZACHUURI
Njoo hapa wanasena-YANDA
Chukua hiki wanasema - KWATA
Mambo mengine utajifunzia huko.
Kina Dada ni Warembo si unajua Tena Mambo ya rift valley tokea Ethiopia ni jamii flani zinafanana.
Zaid ni maji Mara moja
HahahahahaahMoto wa karatasi maharage yanaiva.
Picha mkuuKaribu sana mkuu, mi mwenyewe sio muda baade kidogo mchana nitaenda, ni pazuri kiukweli. tarajia mengi huko ili usipokuwa makini utabadilisha dini ikibidi hadi kabila maana kuna watoto wakali hatareeee. ukitoka dom utaanza kupita makutopora,mzakwe,zanka,mayamaya,zamahero, mtungutu (hapa kuna msitu mkubwa),chenene,haneti,kidoka,kambi ya nyasa, chemba, kelema (maaraufu kwa vindege) , hapo utaitafuta bicha (warangi walishindwa kuita beach), halafu kondoa mjini,
kama unatokea Dar wakati wa kurudi unaweza kupita shortcut, ambayo inatokea kiteto halafu Narco ambapo utaunga lami inayotoka dom -moro, hapo utapita mondo,simba,goima,songolo,chandama, mrijo, kiteto hadi narco.
watu wa kondoa wanapenda sana wageni. kuna wakandarasi walikuja kujenga barabara baada ya mradi kuisha, wakatafuta viwanja wakajenga huko huko na kuoa. ni eneo flan zuri sana.
kama utakuwa na nafasi jitahidi kutembelea taraja la kamba la mjerumani, na chemchem ya kondoa, vipo jirani naamini uta enjoy sana.
Vyombo kweli kweli rangi rangi kweli ila wengi wao hawajui neno NOmkuu wacha nikajionee huu ufahari wao
kondoaHivi warangi wanatoka Kondoa au Singida?
Kondoa ni Wilaya sio MkoaKuna hali ya hewa nzuri
Kuna fursa nyingi za biashara
Nenda tu huko ili Fata ulichokifata huko!
Mimi nimezunguka % 78 ya mkoa wa kondoa nisha hustle sana na kufanya mambo mengi huko
Na niliwajua warangi uzuri wao na mapungufu yao.....
Ovaaa
[emoji16][emoji16]Yani ni chini ya huo mti tuu.... maajabu kabisaa... me nilikuwa nasimuliwa tu nikaenda kushuhudia kwa macho yangu. tukaenda hadi chini ya huo mti mvua ikatunyeshea, wenyewe wakatuambia ni mibaraka
[emoji28][emoji28]Yani ni chini ya huo mti tuu.... maajabu kabisaa... me nilikuwa nasimuliwa tu nikaenda kushuhudia kwa macho yangu. tukaenda hadi chini ya huo mti mvua ikatunyeshea, wenyewe wakatuambia ni mibaraka
Karibu sana mkuu, mi mwenyewe sio muda baade kidogo mchana nitaenda, ni pazuri kiukweli. tarajia mengi huko ili usipokuwa makini utabadilisha dini ikibidi hadi kabila maana kuna watoto wakali hatareeee. ukitoka dom utaanza kupita makutopora,mzakwe,zanka,mayamaya,zamahero, mtungutu (hapa kuna msitu mkubwa),chenene,haneti,kidoka,kambi ya nyasa, chemba, kelema (maaraufu kwa vindege) , hapo utaitafuta bicha (warangi walishindwa kuita beach), halafu kondoa mjini,
kama unatokea Dar wakati wa kurudi unaweza kupita shortcut, ambayo inatokea kiteto halafu Narco ambapo utaunga lami inayotoka dom -moro, hapo utapita mondo,simba,goima,songolo,chandama, mrijo, kiteto hadi narco.
watu wa kondoa wanapenda sana wageni. kuna wakandarasi walikuja kujenga barabara baada ya mradi kuisha, wakatafuta viwanja wakajenga huko huko na kuoa. ni eneo flan zuri sana.
kama utakuwa na nafasi jitahidi kutembelea taraja la kamba la mjerumani, na chemchem ya kondoa, vipo jirani naamini uta enjoy sana.
Mkuu hii kauli niliwahi kuisikia 2001 nilipokuwa chuo, Daaah hivi Ni kweli kumbe??? "Ukikuta nyoka anapambana na mrangi msaidie nyoka!" Hivi root bases ya hii kauli Ni Nini??Mwanamke wa kirangi ni rahisi kumpata kuliko mkwere na mzaramo......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.
.
Binafsi ukinipa mrangi na nyoka......naua mrangi naacha nyoka aendelee kuishi.
Kwenye ilo la usafi nakubaliana nawe kabisaSifa kuu ya warangi ni wasafi sana na wazuri sana kwa sura tena sana.
Watafutaji sana shuguli kuu za kiuchumi ni kilimo na ufugaji
Ila chini dah ni kuchapana tuu
Mimi mwaka jana nilifika pale wilayani Kibaya pamepoa poa ila panaelekea kuchangamkaMimi natarajia kwenda kiteto kwa kazi ya ushonaji nguo VP Na kwenyewe kukoje?
Warangi wanatoka Kondoa cha ajabu watu wengi sana wanaamini warangi wanatoka Singida.Hivi warangi wanatoka Kondoa au Singida?
Mkuu ogopa sana mtu anayeitwa mrangi hasa mwanaume wa kirangi ni hatari kwa afya ya jamii.Mkuu hii kauli niliwahi kuisikia 2001 nilipokuwa chuo, Daaah hivi Ni kweli kumbe??? "Ukikuta nyoka anapambana na mrangi msaidie nyoka!" Hivi root bases ya hii kauli Ni Nini??