Sifurahishwi na kiwango cha Aziz Ki kwa sasa

Aziz K anaweza akapotea Kwa gemu mbili tatu ila yeye yupo kwenye daraja la pekee. Akiwa kwenye daraja lake unaona kabisa uyu Kwa umri wake Kuja kucheza uku kwetu ni jambo la kushangaza!!.
🤣😂🤣😂🤣
 
Kwakua tu alisajilia kwa Hype kubwa na kwakua ni mchezaji wa kigeni basi watu wanaishia wanaona haya kuusema ukweli. Aziz ki uwezo wake ni mdogo sana mchezaji hawezi hata kupunguza mchezaji mmoja sasa ataletaje faida kwa washambuliaji. Ukishakua namba kumi (10) au nane lazima uwe na uwezo wa kupunguza wachezaji wawili watatu ili uweze kutoa pass zenye madhara kwa timu pinzani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaelewa ila ubishi tu, siku hizi wanaona hata aibu kumfananisha na chama..
 
Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.
 
Umemaliza kila kitu mkuu..
 
Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.

Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."

Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.

Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Wewe bhana acha kutupangia. Mashabiki wengi wa Yanga, nikiwemo mimi bado tuna imani naye.
 
Master Ki ni talented usitegemee kiwango kudrop najana kila mchezaji alikuwa akicheza kwa tahadhari alimradi asiumie..

Jumapili utamuona Master Ki mwenyewe kule Mali
Hajajua kuwa jana asilimia kubwa wachezaji wa Yanga walikuwa wanafanya mazoezi tu na hakuna hata walichokicheza, sana sana jana Yanga ilitembelea nyota tu.
 
Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.

Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."

Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.

Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Tumrudishe Feisal Salum...
 
Ukitaka kufaidi aziz key acheze na madunduka, au game za kimataifa hizo game za Ihefu, KMC
 
Kwakua tu alisajilia kwa Hype kubwa na kwakua ni mchezaji wa kigeni basi watu wanaishia wanaona haya kuusema ukweli. Aziz ki uwezo wake ni mdogo sana mchezaji hawezi hata kupunguza mchezaji mmoja sasa ataletaje faida kwa washambuliaji. Ukishakua namba kumi (10) au nane lazima uwe na uwezo wa kupunguza wachezaji wawili watatu ili uweze kutoa pass zenye madhara kwa timu pinzani.
Mmh matobo mangapi kawapiga wapinzani akiwemo Shabalala
 
Kwakua tu alisajilia kwa Hype kubwa na kwakua ni mchezaji wa kigeni basi watu wanaishia wanaona haya kuusema ukweli. Aziz ki uwezo wake ni mdogo sana mchezaji hawezi hata kupunguza mchezaji mmoja sasa ataletaje faida kwa washambuliaji. Ukishakua namba kumi (10) au nane lazima uwe na uwezo wa kupunguza wachezaji wawili watatu ili uweze kutoa pass zenye madhara kwa timu pinzani.
Hujui bolu bro kashabikie taarabu za wcb
 
Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.
Hiyo IQ alishindwaje kuitumia ile siku mpapigwa tatu mzuka?
 
Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.

Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."

Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.

Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Wewe unafikiri tatizo lipo kwa aziz kii tu, mtu yoyote hata awe na akili au ujuzi kiasi gani huko kwao akija hapa Tanzania baada ya siku chache tu anakuwa mweupeee. Hebu jiulize ni kimewafika watu hawa: robertinho, phiri, kisinda, makamboo, mukoko, etc
 
Hapo kuna wazembe na wala bata
 
Back
Top Bottom