Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamuuzie nani hilo galasa, yani kwa huyo jamaa wamepigwa ..Muuzeni tu
Hujui kitu kwenye sika weweJana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.
Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."
Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.
Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
umeaua kutafta furaha kwa nguvu it's okayMtazamo wangu kuhusu viwango vya wachezaji mbalimbali wa Simba ikiwemo hao uliowataja unajulikana wazi. Tofauti ya Aziz na Sawadogo ni foul za kudunda tu na kukunja bukta.
Atawasaidia mechi ya Vipers mrudisheniTumrudishe Feisal Salum...
Aziz key sio bwalyaWamuuzie nani hilo galasa, yani kwa huyo jamaa wamepigwa ..
Ni kweli kawapiga tobo lakini kumpiga tobo mchezaji ni suala la timing tu kwahiyo mchezaji kupigwa tobo ni suala la kawaida kinachotizamwa ni faida zinazopatikana baada ya kupiga tobo je ilisababisha madhara kwa mpinzani? Je! Ilileta bao hapana inaishia kua ni vionjo tu vya gemu mwisho wa msimu utaulizwa una assist ngapi unamagoli mangapi na utakosa jibu.Mmh matobo mangapi kawapiga wapinzani akiwemo Shabalala
Sawa sijui bolu wewe ambae unaamini unajua umeshindwaje kujenga hoja na ikakubalika badala yake unaishia kuleta maneno ya kutiana chukiHujui bolu bro kashabikie taarabu za wcb
Una akili fupi, huo ndio ukweli ndugu yanguSawa sijui bolu wewe ambae unaamini unajua umeshindwaje kujenga hoja na ikakubalika badala yake unaishia kuleta maneno ya kutiana chuki
Naam!umeaua kutafta furaha kwa nguvu it's okay
Haya ndio mambo Mangungu anayapenda muwe busy na Feisal, Sportpesa, Aziz K msahau kwenu kuna vujaNaam!
Katika historia yangu ya kuongelea mpira humu jf, sidhani kama nimewahi kumtaja Aziz Ki zaidi ya mara 4. Mambo yenu hayana umuhimu kihivyo. Mengine hayo tunajaribu kuwakumbusha njia sahihi za kufanya mambo ili ndugu zetu msije mkakwama huko mbele kama ambavyo tunaikosoa timu yetu kila siku.Haya ndio mambo Mangungu anayapenda muwe busy na Feisal, Sportpesa, Aziz K msahau kwenu kuna vuja
Mngekua mnamkubusha Kibu Denis asingefika hapo alipo by the way furaha yenu Azizi K akiwa mbovu ! enjoy footballKatika historia yangu ya kuongelea mpira humu jf, sidhani kama nimewahi kumtaja Aziz Ki zaidi ya mara 4. Mambo yenu hayana umuhimu kihivyo. Mengine hayo tunajaribu kuwakumbusha njia sahihi za kufanya mambo ili ndugu zetu msije mkakwama huko mbele kama ambavyo tunaikosoa timu yetu kila siku.
Labda unanifananisha, siwezi kufurahi kuona mchezaji anakuwa mbovu. Kutaja uhalisia wa kiwango cha mchezaji siyo sawa na kufurahia. Mwisho wa siku football ni entertainment, tunataka tuone vitu vizuri uwanjani hata kwa wapinzani wetu.Mngekua mnamkubusha Kibu Denis asingefika hapo alipo by the way furaha yenu Azizi K akiwa mbovu ! enjoy football
Hadi ufikie kutaka mpinzani wako aoneshe vitu, vipi kwenye timu yako imeshakuonesha vitu vizuri? Kila mtu apambane na hali yake, Yanga mashabiki tuna furaha ya kuelekea kuubeba ubingwa wa ligi kuu.Labda unanifananisha, siwezi kufurahi kuona mchezaji anakuwa mbovu. Kutaja uhalisia wa kiwango cha mchezaji siyo sawa na kufurahia. Mwisho wa siku football ni entertainment, tunataka tuone vitu vizuri uwanjani hata kwa wapinzani wetu.
sikia kama hufarahishei na kiwango chake kajambeJana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.
Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."
Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.
Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Haya ndo matokeo ya wazazi kukutana vilabuni wakilewa wanaenda vichochoroni mwisho mimba isiyotarajiwa wanakuja kuleta wajinga kama weweUna akili fupi, huo ndio ukweli ndugu yangu
Sawa. Hongereni ila katika level za Afrika nyie mko ligi daraja la pili. Nawakumbusha tu si kwa ubaya.Hadi ufikie kutaka mpinzani wako aoneshe vitu, vipi kwenye timu yako imeshakuonesha vitu vizuri? Kila mtu apambane na hali yake, Yanga mashabiki tuna furaha ya kuelekea kuubeba ubingwa wa ligi kuu.