Sifurahishwi na kiwango cha Aziz Ki kwa sasa

Sifurahishwi na kiwango cha Aziz Ki kwa sasa

Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.
Tatizo la Chama naye anakuwa mzuri kwa mechi za NBC ligi tena kati ya simba na timu ndogo ndogo, lakini huwa akikutana na wajanja kwa mechi za kimaifa au timu ngumu za NBC kama Yanga na Azam huwa hafurukuti. Ukweli pass zake huwa zina macho ila yuko slow sana na kuna wakati huwa anapoza mashambulizi
 
Sawa. Hongereni ila katika level za Afrika nyie mko ligi daraja la pili. Nawakumbusha tu si kwa ubaya.
Ligi daraja la pili si mliishindwa msimu uliyopita hata kufika nusu tu. Hivyo sio pakitoto
 
Ligi daraja la pili si mliishindwa msimu uliyopita hata kufika nusu tu. Hivyo sio pakitoto
Kwa ulinganisho huo unaiongeleaje timu yako ambayo haya hiyo robo fainali hamjawahi kufika?
 
Kwanza ni mbinafsi analazimisha vitu sehemu ya kutoa pasi anataka afunge anabutua butua tu kiufupi hana utulivu analazimisha kufunga mda wote.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."
Labda hakuwepo kambini
 
Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.
Kolo mnapenda kujifurahisha sana subiri awaweke tena
 
Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.

Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."

Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.

Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
KMC again, una maswali tena?
 
Back
Top Bottom