π€£ππ€£ππ€£Aziz K anaweza akapotea Kwa gemu mbili tatu ila yeye yupo kwenye daraja la pekee. Akiwa kwenye daraja lake unaona kabisa uyu Kwa umri wake Kuja kucheza uku kwetu ni jambo la kushangaza!!.
Tetea kwa hoja kijana kutukana matusi yote hayo utaishia kuonekana unamatatizo ya ubongo.Wewe ni mjinga na mpumbavu kama sio taahira. Zumbukuku kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aziz K anaweza akapotea Kwa gemu mbili tatu ila yeye yupo kwenye daraja la pekee. Akiwa kwenye daraja lake unaona kabisa uyu Kwa umri wake Kuja kucheza uku kwetu ni jambo la kushangaza!!.
Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.Wanaelewa ila ubishi tu, siku hizi wanaona hata aibu kumfananisha na chama..
Umemaliza kila kitu mkuu..Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.
Wewe bhana acha kutupangia. Mashabiki wengi wa Yanga, nikiwemo mimi bado tuna imani naye.Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.
Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."
Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.
Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Hajajua kuwa jana asilimia kubwa wachezaji wa Yanga walikuwa wanafanya mazoezi tu na hakuna hata walichokicheza, sana sana jana Yanga ilitembelea nyota tu.Master Ki ni talented usitegemee kiwango kudrop najana kila mchezaji alikuwa akicheza kwa tahadhari alimradi asiumie..
Jumapili utamuona Master Ki mwenyewe kule Mali
Tumrudishe Feisal Salum...Jana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.
Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."
Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.
Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Mmh matobo mangapi kawapiga wapinzani akiwemo ShabalalaKwakua tu alisajilia kwa Hype kubwa na kwakua ni mchezaji wa kigeni basi watu wanaishia wanaona haya kuusema ukweli. Aziz ki uwezo wake ni mdogo sana mchezaji hawezi hata kupunguza mchezaji mmoja sasa ataletaje faida kwa washambuliaji. Ukishakua namba kumi (10) au nane lazima uwe na uwezo wa kupunguza wachezaji wawili watatu ili uweze kutoa pass zenye madhara kwa timu pinzani.
Ulisoma ulichoandika kabla hujaruhusu post..
Hujui bolu bro kashabikie taarabu za wcbKwakua tu alisajilia kwa Hype kubwa na kwakua ni mchezaji wa kigeni basi watu wanaishia wanaona haya kuusema ukweli. Aziz ki uwezo wake ni mdogo sana mchezaji hawezi hata kupunguza mchezaji mmoja sasa ataletaje faida kwa washambuliaji. Ukishakua namba kumi (10) au nane lazima uwe na uwezo wa kupunguza wachezaji wawili watatu ili uweze kutoa pass zenye madhara kwa timu pinzani.
Kwani bado mechi ngapi ligi imalizike?Hii sio siasa mkuu useme eti bado una imani nae. Ligi inaelekea ukingoni na bado hana maajabu.
Hiyo IQ alishindwaje kuitumia ile siku mpapigwa tatu mzuka?Aziz ki hamfikii hata robo kwa uwezo wa chama kwasababu IQ ya chana na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi sehemu sahihi kwa chama ni kubwa maradufu kushinda Azizi ki. Na ndio maana chama ana assist za kutosha kwasababu anawalisha washambuliaji ila Azizi ki anacheza vizuri kama timu inacheza vizuri na inamiliki mpira ila timu ikizidiwa basi Aziz ki naye anafunikwa humohumo.
Wewe unafikiri tatizo lipo kwa aziz kii tu, mtu yoyote hata awe na akili au ujuzi kiasi gani huko kwao akija hapa Tanzania baada ya siku chache tu anakuwa mweupeee. Hebu jiulize ni kimewafika watu hawa: robertinho, phiri, kisinda, makamboo, mukoko, etcJana kwenye mechi kati ya KMC na Yanga nimemshuhudia Aziz Ki akionesha kiwango kibovu kabisa. Ni kweli inawezekana jana alikuwa na siku mbaya kazini lakini Aziz ana matatizo yanayojirudia rudia, ambayo ni kupokonywa mpira kirahisi,kupiga pasi mkaa na kukosa magoli ya wazi tena akiwa karibu kabisa na goli.
Kwa "profile" yake sitarajii kumuona akifanya makosa ya kizembe km hayo. Kama namba 10 unapoteza mpira mara kwa mara ni dhahiri namba 9 atakosa hudumu. Ndicho kilichomkuta Clement Mzize jana. Kiwango cha Aziz kimekosa kabisa mwendelezo na lazima ashituke. Amebaki kuwa mchezaji wa "moment" na sio "Whole Match."
Namuona Aziz akiungana na kina Ambundo,Zawadi,Gushi,Tuisila na Bryson kwenye kundi la wachezaji wenye kiwango kibovu pale Yanga.
Kinachonishangaza si mashabiki wa Yanga wala wachambuzi wanaoongelea kiwango kibovu cha Aziz anachokionyesha sasa tofauti na wanavyowasema kina Ambundo.
Hapo kuna wazembe na wala bataWewe unafikiri tatizo lipo kwa aziz kii tu, mtu yoyote hata awe na akili au ujuzi kiasi gani huko kwao akija hapa Tanzania baada ya siku chache tu anakuwa mweupeee. Hebu jiulize ni kimewafika watu hawa: robertinho, phiri, kisinda, makamboo, mukoko, etc