Sifurahishwi na kiwango cha Aziz Ki kwa sasa

Tatizo la Chama naye anakuwa mzuri kwa mechi za NBC ligi tena kati ya simba na timu ndogo ndogo, lakini huwa akikutana na wajanja kwa mechi za kimaifa au timu ngumu za NBC kama Yanga na Azam huwa hafurukuti. Ukweli pass zake huwa zina macho ila yuko slow sana na kuna wakati huwa anapoza mashambulizi
 
Sawa. Hongereni ila katika level za Afrika nyie mko ligi daraja la pili. Nawakumbusha tu si kwa ubaya.
Ligi daraja la pili si mliishindwa msimu uliyopita hata kufika nusu tu. Hivyo sio pakitoto
 
Ligi daraja la pili si mliishindwa msimu uliyopita hata kufika nusu tu. Hivyo sio pakitoto
Kwa ulinganisho huo unaiongeleaje timu yako ambayo haya hiyo robo fainali hamjawahi kufika?
 
Kwanza ni mbinafsi analazimisha vitu sehemu ya kutoa pasi anataka afunge anabutua butua tu kiufupi hana utulivu analazimisha kufunga mda wote.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Labda hakuwepo kambini
 
Kolo mnapenda kujifurahisha sana subiri awaweke tena
 
KMC again, una maswali tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…