Sigara Vs Bangi: Kwanini bangi haramu na sigara si haramu?

Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi?

Tafiti zimeonyesha sigara ni kichochezi kikubwa cha kansa nyingi, matatizo ya mapafu, kisukari, TB na mambo mengine mabaya mengi.

Kwa upande wa bangi hakuna tafiti za kutosha kuonyesha kwa ufasaha hasa madhara yake kwa binadamu ila pamoja na hayo imekuwa ikipigwa vita kali sana na serikali zote duniani huku sigara ikanadiwa na kuwekewa hadi taadhari kuwa ni mbaya kwa afya!
Na Bangi ni chanzo cha matatizo makubwa duniani kuliko sigara, Bangi ndio maana ipo kwenye kundi ya madawa ya kulevya
cannabis-and-the-brain-eng.jpg
NIDA10-INS2_THC-Brain-v1%20(1).jpg
Nida10-ins2_d2ec.jpg
 
Nimewahi kukutana na wahanga wawili wa bhangi ambao ni ndugu zangu kabisa:

Mmoja siku ya kwanza aliyovuta alipika uji kwenye sufulia la kupikia wali kilo nne.Jamaa alikunywa uji Hadi akatokwa na jasho km Kuli wa bandarini,cha ajabu alipoona uji umemshinda na kwenye sufuria umebaki mwingi akauongezea unga akapika ugali ale na mboga iliyobakia Jana usiku..huyu jamaa bhangi ilipotoka kichwani hakuendelea kutumia..Hadi Leo havuti

Huyu mwingine wa pili siku ya kwanza kuvuta nakumbuka nimeenda kumtembelea ndugu yangu tandika azimio. Yeye alivuta mida km ya saa moja usiku.Mamaake mida huo huwa anaweka maharage ya kupima jero jero nje kwenye jiko la mkaa huku yakipata Moto taratiiibu .alipovuta wakati anakuja hapo home alikuwa anakanyaga ardhi km kuna shimo kubwa[emoji16]..alipofika pale alipiga Teke kubwa kwenye sufuria la maharage akayamwaga kisha akaingia ndani,lkn alikuwa analalamika mlango mdogo hawezi kupita vizuri .akawa analia.Huyu naye aliacha maana bhangi ilikuwa km inamletea ukichaa

Kisa cha tatu cha nyongeza ni mwalimu wangu wa mathematics wakati nipo shule.siku ya mitihani akipewa kazi ya kusimamia darasa Fulani,Hilo darasa zitapigwa 'A' nyingi sn hata na vilaza wa darasa maana Hana muda wa kukamata wanafunzi wanaotumia vibomu au kuangalizia Kwa wenzao akiwa anasimamia,wewe ingia Tu hata na daftari uangalizie majibu yeye yupo pale mbele na Hana time na nyie,zaidi sn akikuona Una kibom anakuangalia alafu anacheeka kisha anakupa dole[emoji106]

Kwa visa hivi nilivyovishuhudia Kwa macho yangu wala siilaumu serikali ikikataza kuvuta mjani
Vichaa km hawa Demi
 
Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi?

Tafiti zimeonyesha sigara ni kichochezi kikubwa cha kansa nyingi, matatizo ya mapafu, kisukari, TB na mambo mengine mabaya mengi.

Kwa upande wa bangi hakuna tafiti za kutosha kuonyesha kwa ufasaha hasa madhara yake kwa binadamu ila pamoja na hayo imekuwa ikipigwa vita kali sana na serikali zote duniani huku sigara ikanadiwa na kuwekewa hadi taadhari kuwa ni mbaya kwa afya!
Ulishawahi kujiuliza kwann k vant halali gongo haram
 
Nimewahi kukutana na wahanga wawili wa bhangi ambao ni ndugu zangu kabisa:

Mmoja siku ya kwanza aliyovuta alipika uji kwenye sufulia la kupikia wali kilo nne.Jamaa alikunywa uji Hadi akatokwa na jasho km Kuli wa bandarini,cha ajabu alipoona uji umemshinda na kwenye sufuria umebaki mwingi akauongezea unga akapika ugali ale na mboga iliyobakia Jana usiku..huyu jamaa bhangi ilipotoka kichwani hakuendelea kutumia..Hadi Leo havuti

Huyu mwingine wa pili siku ya kwanza kuvuta nakumbuka nimeenda kumtembelea ndugu yangu tandika azimio. Yeye alivuta mida km ya saa moja usiku.Mamaake mida huo huwa anaweka maharage ya kupima jero jero nje kwenye jiko la mkaa huku yakipata Moto taratiiibu .alipovuta wakati anakuja hapo home alikuwa anakanyaga ardhi km kuna shimo kubwa[emoji16]..alipofika pale alipiga Teke kubwa kwenye sufuria la maharage akayamwaga kisha akaingia ndani,lkn alikuwa analalamika mlango mdogo hawezi kupita vizuri .akawa analia.Huyu naye aliacha maana bhangi ilikuwa km inamletea ukichaa

Kisa cha tatu cha nyongeza ni mwalimu wangu wa mathematics wakati nipo shule.siku ya mitihani akipewa kazi ya kusimamia darasa Fulani,Hilo darasa zitapigwa 'A' nyingi sn hata na vilaza wa darasa maana Hana muda wa kukamata wanafunzi wanaotumia vibomu au kuangalizia Kwa wenzao akiwa anasimamia,wewe ingia Tu hata na daftari uangalizie majibu yeye yupo pale mbele na Hana time na nyie,zaidi sn akikuona Una kibom anakuangalia alafu anacheeka kisha anakupa dole[emoji106]

Kwa visa hivi nilivyovishuhudia Kwa macho yangu wala siilaumu serikali ikikataza kuvuta mjani
Mkuu wangu bangi haina shida hao wawili wa juu ndio wana ukichaa
NB huyo teacher wala hata hana kosa.hao wanafunzi hawana akili mwanafunzi mwenye akili hawezi kutumia vibomu
 
Yah ni kweli mm nimewahi kukaa na watu kinao wanatumia bangi na hawana matatizo yoyote ktk jamii inayowazunguka

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo kwa hisia huwezi kufahamu
Vuta sigara wiki 1 na kisha vuta bangi siku 3 utapata jibu..
 
Uki kutana na Msichana anaye smoke weed wako vizuri mno kwenye Sex then sio waongo wa ongo.Achana na wale wanao smoke kwajili ya matatizo au maisha yame wapiga.
 
Back
Top Bottom