Ameungana lini na Samia? Unathibitisha alilosema. Badala ya kuungana kupambana na mwenye dola nyie mko busy kuwafinya wapinzani wengine ili muonekane peke yenu kama wapinzani. Bila kushirikiana na wenzenu, ndoto yenu ya kushika dola itabakia kuwa ndoto.Aliungana na Chaumma na samuya, hiyo inatosha, vitu vingine sio vya kulazimisha
Unawezaje kupambana na mwenye nguvu kama huwezi hata kukataa mifupa anayokutupia?Akiwakilisha kundi la Wabunge walio wachache bungeni katika msiba wa Hayati Edwin Mtei, Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema busara na hekima za Mzee Mtei ni nguzo muhimu ambazo wanasiasa wanapaswa kujifunza.
“Mimi binafsi huwa natamani nipate hata robo tu ya busara za huyu mzee, nikiziangalia hata theluthi za busara za mheshimiwa Mbowe niwe nazo, lakini nimeshindwa.
Sisi kama wabunge tulio wachache bungeni, tunamuahidi kwenda kupigania demokrasia ya kweli katika nchi hii, kwenda kuhakikisha nchi hii inarudi kwenye kuheshimiana, tunajadili jambo la kitaifa kwa pamoja.
Ameendelea kusema, "Wanyonge wanatakiwa kuungana kupambana na wenye nguvu, nashangaa sana pale tunapoona wanyonge wanafinyana wenyewe.”
Waungane hivyo vyama vingine washike dola. Huyu si ndio alikuwa anatumika na ccm kuibomoa cdm. Alijifanya amepigwa akawa anatembelewa na akina Makala hospitaliniAmeungana lini na Samia? Unathibitisha alilosema. Badala ya kuungana kupambana na mwenye dola nyie mko busy kuwafinya wapinzani wengine ili muonekane peke yenu kama wapinzani. Bila kushirikiana na wenzenu, ndoto yenu ya kushika dola itabakia kuwa ndoto.
Amandla...
Alizingua sana alipotumiwa na ccm kumtengenezea Heche kesi ya kudhuru mwiliMatapeli ya kisiasa hayo huyo na akina Yericko Nyerere .
Hao wapuuzi wanafikiri tumesahau.Huyu ake
Alizingua sana alipotumiwa na ccm kumtengenezea Heche kesi ya kudhuru mwili
Huyu dada alijidhalilisha sana!! Ubunge wenyewe kapewa tu kama hongo maana chaumma haikufikisha 5% ya kura za ubunge. Ndio eti anataka kuungana kupambana na CCM?Waungane hivyo vyama vingine washike dola. Huyu si ndio alikuwa anatumika na ccm kuibomoa cdm. Alijifanya amepigwa akawa anatembelewa na akina Makala hospitalini
Mpuuzi sana huyo dada. Hata ACT ni kama wanajisogeza karibu na cdm, maana kilichofanyika kwenye uchaguzi walioamua kushiriki ni kama wamedhalilika. Na wanajua kabisa cdm walikuwa sahihi kugomea huo uchaguzi, na wanajua kwenye hili cdm ndio wamefaidika. Cdm wasikubali umoja wa mashaka, kila mmoja apambane anavyoona, lakini kuungana na hivyo vyama project ni kutaka kuingia matatizoni.Huyu dada alijidhalilisha sana!! Ubunge wenyewe kapewa tu kama hongo maana chaumma haikufikisha 5% ya kura za ubunge. Ndio eti anataka kuungana kupambana na CCM?
Wanalazimisha maridhiano ili iweje
Ukiikataa peke yako hautafika popote. Kinachotakiwa ni kuwaconvince wenzako nao wakatae hiyo mifupa. Hilo ndilo analosema Sigrada.Unawezaje kupambana na mwenye nguvu kama huwezi hata kukataa mifupa unayotupiwa na mwenye nguvu?
Hata sisi tunakumbuka sana.Huyu ake
Alizingua sana alipotumiwa na ccm kumtengenezea Heche kesi ya kudhuru mwili
Kumshawishi mtu ambaye akipewa hata mfupa anaridhika nao sio rahisi. Mtu ambaye haridhiki na mfupa hata ukimpa ataukataa!Ukiikataa peke yako hautafika popote. Kinachotakiwa ni kuwaconvince wenzako nao wakatae hiyo mifupa. Hilo ndilo analosema Sigrada.
Amandla...