Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Mkuu Pulchra Animo, utajuaje bila kujaribu? Na hawa wakina Sigrada wamelipa gharama kubwa katika siasa za upinzani kuliko wengi ambao leo ndio wanajifanya wana msimamo! Kwa mawazo yangu Chadema ya sasa haina tofauti na CCM. Mtu akitofautiana nao kimawazo basi anakuwa adui kuliko hata CCM. Kwa wao " it is either my way or the high way".
Amandla...
Pulchra Animo
Amandla...
Pulchra Animo