Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Rafiki wa hivyo nafuta namba yake mapemaAse kuna jamaa mpka ni mute status zake kwa siku anaweza jipost picha kumi anapost na kufuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki wa hivyo nafuta namba yake mapemaAse kuna jamaa mpka ni mute status zake kwa siku anaweza jipost picha kumi anapost na kufuta
Kumbe kuna mda unakuwaga na madini, uache kupost hadithi za minyandulikoSema mimi nachukia tu mtu yoyote anae penda kujipost post kwa siku anaweza akajipost picha zake kama tano awe me au ke sipendi mtu wa kujipost post
Ahhahah sasa watu si wanazipenda 😂Kumbe kuna mda unakuwaga na madini, uache kupost hadithi za minyanduliko
Vipi mkuu na wewe unapost status constantly kama bwawa la umeme?simu yake bando lake, kinachokuwasha nini?
bora yake yeye anatumia muda mwingi online anapost biashara kuliko wewe nguchiro wa kiume unaetumia muda mwingi online kufatilia maisha ya watu na udaku![]()
kwangu status mwisho 6 kwa siku tena biashara na nina wiki ya pili sasa sijapost wala kuview status yoyoteVipi mkuu na wewe unapost status constantly kama bwawa la umeme?