Sihukumu: mwanaume ku-post status 100 kwa siku?

Hivi ulipataje ujasiri kuja kwenye uzi wangu kusema nimeandika pumba?? Ona sasa ulivojidhalilisha wee mzee heri ya mie.. Huo tunaita ushakunaku, deal na yako.
 
Hivi kumbe watu wanajua kama usipo view status zao. Mtu anayeweka status 50 kwa siku ni wakupuuzwa kisheria.
 
simu yake bando lake, kinachokuwasha nini?

bora yake yeye anatumia muda mwingi online anapost biashara kuliko wewe nguchiro wa kiume unaetumia muda mwingi online kufatilia maisha ya watu na udaku
Vipi mkuu na wewe unapost status constantly kama bwawa la umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…