Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wazi wapambe wa Samia wanathibitisha kuwa hastahili wala hakupaswa kuwa Rais bali ni kwa kubahatisha amepata Urais. Samia amekuwa Rais si kwa jitihada zake binafsi bali kwa kifo cha Magufuli amekuwa Rais!Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?.
Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe Kama Samiah kimatendo au kicheo?. Yani wanakuwaje Kama Samiah.
1. Samiah ni Rais, je kila mtoto ana ndoto ya kuwa Rais?.
2. Samiah ni mwanasiasa, je kila mtoto ana Nia ya kuwa mwanasiasa au kuwa Mwenyekiti wa chama?.
3. Samiah ni mwanamke , je watoto wa kiume Wanavutiwa kuwa kama yeye?
4. Samiah amemteua mkwe wake kuwa Waziri kwenye serikali yake , je kila mtoto kesho awe Kama yeye a teue wakwe kwenye serikali.
5. Samiah elimu yake ya kuunga unga, je watoto wa Leo na wao wawe na elimu ya kuunga unga?
6. Samiah amekopa Deni la nje kuliko Marais wote waliopita, he watoto wa Leo wawe Kama Samiah?
Nadhani waliokuja na kampeni hii mashuleni walikuwa na lengo la uchawa ndani yake. Ingekuwa Bora pale ambapo wangesema " Mtoto wa Leo ni Rais wa Kesho" ingekuwa vizuri, lakini kuandika jina la mtu Kwenye kampeni kubwa Kama hiyo ni uchawa.
Kasema kabisa tusitaje ubiniulitaka awe lema wa kesho
Kila kitu sasa kina jina la rais, kuanzia mabehewa, hospitali, mashule, kampeni, barabara, yani kila kitu. Sijawahi kuona jambo kama hili ila sasa ndo naonaKuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?.
Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe Kama Samiah kimatendo au kicheo?. Yani wanakuwaje Kama Samiah.
1. Samiah ni Rais, je kila mtoto ana ndoto ya kuwa Rais?.
2. Samiah ni mwanasiasa, je kila mtoto ana Nia ya kuwa mwanasiasa au kuwa Mwenyekiti wa chama?.
3. Samiah ni mwanamke , je watoto wa kiume Wanavutiwa kuwa kama yeye?
4. Samiah amemteua mkwe wake kuwa Waziri kwenye serikali yake , je kila mtoto kesho awe Kama yeye a teue wakwe kwenye serikali.
5. Samiah elimu yake ya kuunga unga, je watoto wa Leo na wao wawe na elimu ya kuunga unga?
6. Samiah amekopa Deni la nje kuliko Marais wote waliopita, he watoto wa Leo wawe Kama Samiah?
Nadhani waliokuja na kampeni hii mashuleni walikuwa na lengo la uchawa ndani yake. Ingekuwa Bora pale ambapo wangesema " Mtoto wa Leo ni Rais wa Kesho" ingekuwa vizuri, lakini kuandika jina la mtu Kwenye kampeni kubwa Kama hiyo ni uchawa.
Asiwe Samia au Lema wa kesho.Awe kama itakavyompendeza Mungu.ulitaka awe lema wa kesho
Nilichoelewa mimi,nikwamba,wanamjengea kujiamini watoto,hasa wa kike,,,waje kuwa wasomi wakubwa,wafanya biashara wakubwa,na viongozi wenye uweledi kwa mu2mia mama samia,kwamba wanawake walikuwa wanaonekana duni,lakini leo hii kwa mara ya kwanza,TANZANIA tumempata raisi wa kwanza wa kike!!!...au unaonaje man!!Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?.