Siielewi hii kampeni: Mtoto wa leo ni Samia wa Kesho

Ni wazi wapambe wa Samia wanathibitisha kuwa hastahili wala hakupaswa kuwa Rais bali ni kwa kubahatisha amepata Urais. Samia amekuwa Rais si kwa jitihada zake binafsi bali kwa kifo cha Magufuli amekuwa Rais!
 
Kila kitu sasa kina jina la rais, kuanzia mabehewa, hospitali, mashule, kampeni, barabara, yani kila kitu. Sijawahi kuona jambo kama hili ila sasa ndo naona
 
Nilichoelewa mimi,nikwamba,wanamjengea kujiamini watoto,hasa wa kike,,,waje kuwa wasomi wakubwa,wafanya biashara wakubwa,na viongozi wenye uweledi kwa mu2mia mama samia,kwamba wanawake walikuwa wanaonekana duni,lakini leo hii kwa mara ya kwanza,TANZANIA tumempata raisi wa kwanza wa kike!!!...au unaonaje man!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…