chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hao wanazimwa kisiasa, hawataonekana mpaka 2030, wako chini ya uangalizi wa ikulu, hiyo kuwapa kazi ingine ni geresha tu, lakini wamewekwa "detention"kisiasa.Mnafiq grade A, leo anasema hao wazee Ana Kazi nao baada ya kuambiwa waziwazi kuwa kachemka pumbavu sana siasa za tz