Hao wanazimwa kisiasa, hawataonekana mpaka 2030, wako chini ya uangalizi wa ikulu, hiyo kuwapa kazi ingine ni geresha tu, lakini wamewekwa "detention"kisiasa.Mnafiq grade A, leo anasema hao wazee Ana Kazi nao baada ya kuambiwa waziwazi kuwa kachemka pumbavu sana siasa za tz
Sahihi, naona kampiga na pini asigombee u spika jamaa anachekelea tuHao wanazimwa kisiasa, hawataonekana mpaka 2030, wako chini ya uangalizi wa ikulu, hiyo kuwapa kazi ingine ni geresha tu, lakini wamewekwa "detention"kisiasa.
Nchi imepatwa tena, tuna kiongozi mwenye siasa za makundi na mizengwe, kama enzi hizo za JK; ambako kulikuwa na kundi la JK (now days Msoga gang) vs kundi la Lowasa, na wengineoKumbe nilikuwa sahihi!!Lukuvi ana kazi naye nyingine, na prof majalala!!hahaaa kumbe ule ulikuwa ni mkwala tu ina maana alimanisha waitara na mkumbo ndio wanajiandaa kugombea 2025!!??
Ila 2025, ndani ya CCM, badamu batamwagika!!tatizo letu ni katiba tu, ila kungekuwa na katiba nzuri uchaguzi huo ungekuwa mzuri sana kwa upinzani!Nchi imepatwa tena, tuna kiongozi mwenye siasa za makundi na mizengwe, kama enzi hizo za JK; ambako kulikuwa na kundi la JK (now days Msoga gang) vs kundi la Lowasa, na wengineo
Hazungumzi uhalisia, na anatenda kinyumenyume
Mnafiq yule, wale jamaa hawatoboiKama utaya tafsiri maelezo ya mama kuwa atashika kiboko pamoja nae labda atampa uwaziri mkuu
Aisee, si mchezoHao wanazimwa kisiasa, hawataonekana mpaka 2030, wako chini ya uangalizi wa ikulu, hiyo kuwapa kazi ingine ni geresha tu, lakini wamewekwa "detention"kisiasa.
Huu sasa uchochezi Mkuu. Ha ha ha ha