Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

JUST IMAGINE TAR 25/9/2021

MANULA

KAPOMBE +HUSSEIN + WAWA+ONYANGO

LWANGA + KANOUTE

BANDA+ BWALYA + SAKHO

BOCCO

( 4-2-3-1)
Hapana mbona icho kikosi chako ni kikosi kipana sana tena cha kucheza cafcl sio na hawa utopolo.
Kikosi chao hawa ni hiki.

Kakolanya.

Kapombe. Zimbwe.
Inonga. mzee Onyango.

Mkude. Lwanga.
Bwalya. Duncan Nyoni.

Boco. Kagere.
4:4:2.
 
nature ya mpira wa simba ni pass na possession ya mpira.

Unamponda Mo usajili wake eti wa kimasikini, kuna timu yoyote Tanzania inasajili wachezaji bora na kulipa vizuri kama simba?

Mo kafanya makubwa sana, unataka simba ianze kusajili wachezaji wa bilioni 2+ ?

Mnaiponda SSC lakini ni timu bora zaidi ukanda huu, imewabeba mmeshindwa wenyewe.

MO Dewji anastahili pongezi[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mazembe walitengeneza clear chances ngapi ?

Unasema hawakuwa na offside unajua kwa nini hawakuwa na offside ?
 
Ww ni utopolo mkuu
 
Ukweli mtupu.Kwa kuthibitisha hilo jumamosi Simba wanakula kipigo kitakatifu bila huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…