Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

SIMBA Haina striker wa kufunga magoli etie. ILA Yanga ndiyo wapo.

Boco, Mugalu, Kagere walikuwa na goli ngapi msimu ulioisha?

Sarpong, Nchimbi,Feisal na Yacouba walikuwa na goli ngapi?
 
Una Unaposema huioni Simba kwenye robo fainali maana yake tayari umeshaiona kwenye makundi na kufuzu mtoano!! Nikuulize Utopolo unaiona wapi?? Je utopolo imechangia pointi ngapi kwenye kjongeza nafasi za ushiriki kwenye mashindano yaliyo chini ya caf??
 
70% ya pass zao ni plus plus. So 30% ndio wakibahatika kufika and still they can’t get it.

Ni namna jinsi unaelewa mambo ,
Nyie naija mlipiga ngapi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ile ni.mechi ya kirafiki ambayo huwezi kujua mipango ya kocha ukihusisha na mechi inayokuja mbele yao kesho kutwa tarehe 25 huwezi jua mwalimu alikua anaangali nini na kutunza wachezaji wake vipi kwaajili ya tarehe 25. Mpira ni sayansi na mipango
Acha wajichanganye kesho kutwa tuwatawanye 3bila
 
Mkuu hii clear chance za mugalu zilitoka wapi ilhali mpira wa simba haukuvuka nusu ya uwanja kwa mujibu wa maandishi yako? Malalamiko fc mmehamia simba? Hamtapokelewa, bakie kwenu huko.
 
Hata ukiiona Simba utaijua basi wewe!!!
 
Simba ya Chama ndani, Miquison ndani, Morison ndani ilikuwa inapata shida sana ikikutana na Yanga.
Sasa jmosi hao wote hawapo, sijui kama watatoka salama
Simba inashinda mapema tuuu!
 
Ila Yanga unaiona huko Robo Fainali ya CAF?
 
Simba ya Chama ndani, Miquison ndani, Morison ndani ilikuwa inapata shida sana ikikutana na Yanga.
Sasa jmosi hao wote hawapo, sijui kama watatoka salama
Simba ya kina Laudit Mavugo ilikuwa inawatesa Yanga pia.

This time Yanga watajilipua wakijua Chama na Luis hayupo watakachokutana nacho Mungu anajua.
 
Simba ya kina Laudit Mavugo ilikuwa inawatesa Yanga pia.

This time Yanga watajilipua wakijua Chama na Luis hayupo watakachokutana nacho Mungu anajua.

Simba bado mnakazi ya kufanya. Mmekubali kuwa hamna MFUNGAJII ?

Hamtoboi Mwaka huu . Hii ndiyo gharama ya kuuza wachezaji hovyo. Toka lini MUHINDI akawa na akili

Kidole kimeingia.....pyuuuu
 
Simba bado mnakazi ya kufanya. Mmekubali kuwa hamna MFUNGAJII ?

Hamtoboi Mwaka huu . Hii ndiyo gharama ya kuuza wachezaji hovyo. Toka lini MUHINDI akawa na akili

Kidole kimeingia.....pyuuuu
Kwa hiyo kushinda leo unaona ushabeba ligi.?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia wewe utaelewa baadae kuwa simba mwenda pole ndio mla nyama
 
Wachezaji wenu kule Nigeria walifunga magoal mamngapi?

Narudia tena , hamna mfungaji na mliuza wachezaji bila TAFAKURU na kupata replacement ya maana .

Mwaka huu hamtoboi, HAKUNA MWENYE UWEZO WA KUFUNGA. Mlitakiwa ku mantain kile kikosi kwa gharama zozote while mkifanya replacement slowly but sure

Imepita hiyo , Pyuuuu
 
Kwa hiyo kushinda leo unaona ushabeba ligi.?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia wewe utaelewa baadae kuwa simba mwenda pole ndio mla nyama

Mechi 2 mfululizo hakuna goli hata moja. Kikosi kipana na mambo mambo ya kusaini mikataba ha ha ha

Simba ya Mwaka huu kama striker wenu ni mugalu imekula kwenu ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…