Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Kwani kusupport harakati za Chadema ni Sawa na kifo?Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima
Kabla ya Jan 2025Hiki chama ni kama kina mkono wa system maana kitendo cha John Heche kukamatwa na kuwekwa ndani bila sababu yoyote kupisha October 29 hawa wangekua uraiani na Lissu wangepewa zigo la October 29 na kufungwa bahati mbaya wote walikua mahabusu
🤣🤣Huna akili wewe
ok.🐒Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima
Chadema ni identity yangu mkuu, huwezi kunitenganisha na chademaKwani kusupport harakati za Chadema ni Sawa na kifo?
Chadema ya zamani au hii ya sasaChadema ni identity yangu mkuu, huwezi kunitenganisha na chadema
Kiukweli Tundu Lissu na Heche are the type of people of their own versions.Ndugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima
Wewe ni muhalifuok.🐒
calm down mtakatifu 🐒Wewe ni muhalifu
HeheheheUko tayari kufa kwa ajili ya Lisu na Heche?
Hizi bangi mnazovuta zinakowapeleka sijui.
Wewe mpuuzi wenzio walishastaafu uchawa. Hebu na wewe pumzika basi hata kama hujavuna badoUko tayari kufa kwa ajili ya Lisu na Heche?
Hizi bangi mnazovuta zinakowapeleka sijui.
Haupo peke yako mkuu mwenye mapenzi na chadema. Watanzania wote wapenda Haki wapo na chademaNdugu zangu Wana Jamiiforums nikiri kuwa mimi ni mshabiki wa siasa za upinzani siyo kosa mimi kukiri nafasi yangu kisiasa, lakini katika yote hayo mashujaa wangu ni Lissu na Heche, watu Hawa wananifanya nihisi kuwa tanganyika iliyochoka ina nafasi kubwa siku zijazo, Mungu awabariki, lengo langu la kuwa na fake id ni kusapoti harakati za chadema, kama Kuna atakayenigundua niko tayari kufa na chadema, naipenda chadema, nampenda heche na lissu, Mungu awabariki, nipo nanyi daima