Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

Naomba LINK nimpigie kura ya NDIYO Diamond...

Kiukweli, siwezi kuwa mnafiki kuupenda muziki wake halafu kura nimpigie mwingine... Ukijiona upo kwenye hali hiyo, ujijue wewe ni MNAFIKI
 
Team domo naona wameshikwa pabaya,, wanatoa povu balaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakati huo huo UNAFIKI wa domo kukemea maovu ya Nigeria huku akiyanyamazia maovu ya Tanzania na kuwa karibu na maccm chama cha wahuni na mafisadi ambacho ni chanzo cha matatizo yote ya Watanzania huuoni!? 😳😳
Naomba LINK nimpigie kura ya NDIYO Diamond...

Kiukweli, siwezi kuwa mnafiki kuupenda muziki wake halafu kura nimpigie mwingine... Ukijiona upo kwenye hali hiyo, ujijue wewe ni MNAFIKI
 
Ubora wa mtu nikuheshimu

1. Utu wa mwanadamu

2. Kukemea Uovu na unyanyasaji wa watu

3. Kutetea haki za watu

Tumeona Tanzania
-Watu kupotezwa
-Watu wasiojukikana
-Kupigwa risasi
-Kunyimwa uhuru wa kujumuika
-Kufunguliwa mashitaka bandia
Kuumizwa
Nk

Diamond hajawahi kuinuwa mdomo wake kukemea uovu na waovu.

Aibu kuwa na wasanii wasiotambuwa thamani ya wapenzi wao, mashabiki na raia wenzao.
 
Na wewe ukamuamini mmakonde?
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Wewe Zaid ya kua keyboard worries,ushwahi jitokeze hadharani kukemea?
 
Wakati huo huo UNAFIKI wa domo kukemea maovu ya Nigeria huku akiyanyamazia maovu ya Tanzania na kuwa karibu na maccm chama cha wahuni na mafisadi ambacho ni chanzo cha matatizo yote ya Watanzania huuoni!? 😳😳
NAOMBA LINK BASI KIONGOZI
 
Ni upumbavu kuwa na wasanii wasio heshimu haki za binadamu isipokuwa kujali kunufaika kwa kura na vingilio vya hao wanadamu.

Ubinadamu nikusaidiana, ukishakuwa na uwezo, maaarufu, basi onesha utu na hekima za uwezo wako kifedha na kisanii kwa kukemea uovu.

Watetee mashabiki wako katika haki maana wao pia wanakuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…