Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Burnaboy si mnyakyusa mwenzetu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kiongozi nasubiriaNikiona nitakutumia Mkuu. Nadhani upigaji kura utaanza rasmi June 7.
Kuna mtu pia umemuuliza hoja yake ni nini? Jitathmini.Umeelewa ulichoandika?
Nimekuwa lagos pia, na zaidi niko na wana wa Nigeria huku, kunapokuwa kwenye party basi Diamond anapigwa sana....anajulikana, Konde Boy pia ila siyo kama Diamond, Kiba ndiyo zero kabisa. Sorry nampenda Kiba ila huo ndiyo ukweli
Tutampigia sana tuu
Kuna mtu pia umemuuliza hoja yake ni nini? Jitathmini.
Tujadili nini tena wakati nimeshakujibu na kama hujaelewa hilo sio tatizo langu sasa.Umeelewa swali?
Kama huna hoja sio kesi
Una hoja weka tujadili or else hujielewi
Tujadili nini tena wakati nimeshakujibu na kama hujaelewa hilo sio tatizo langu sasa.
Kwahiyo unamtishia diamond kwa hiyo kura yako ambayo miaka na miaka, imeshindwa kwang'oa CCM madarakani?Alikemea maovu ya Serikali ya Nigeria lakini akaamua kukaa kimya kuhusu maovu ya Serikali ya Tanzania kwa sababu tu ni MNUFAIKA. AJIONGEZE imekula kwake yuko busy kusaka kura nchi nyingine za Africa. Litakuwa fundisho kubwa kwake hata kama atashinda kwamba kama anaweza kukemea yanayojiri Nigeria basi anaweza kabisa kukemea yanayojiri Tanzania pia.
Kwahiyo unamtishia diamond kwa hiyo kura yako ambayo miaka na miaka, imeshindwa kwang'oa CCM madarakani...
Acha ukasuku.1. Kupiga kura ni hiari
2. Kila mtu anauhuru kamili kuchagua...
Wewe ulikemea? huenda sababu iliyokufanya usijitokeze hadharani kukomea, ndo hiyohiyo iliyomfanya diamond asijitokeze kukemea.1. Kupiga kura ni hiari
2. Kila mtu anauhuru kamili kuchagua...
Tusubiri matokeoTeam domo naona wameshikwa pabaya,, wanatoa povu balaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Siku mbowe akikwambia akunyandue nahisi utakubaliWakati huo huo UNAFIKI wa domo kukemea maovu ya Nigeria huku akiyanyamazia maovu ya Tanzania na kuwa karibu na maccm chama cha wahuni na mafisadi ambacho ni chanzo cha matatizo yote ya Watanzania huuoni!? 😳😳
We mpigie unayemtaka, kama ukilivyosema kwamba kila mtu ana uhuru wake kwenye kuamua nani ampigie kura..!!! Ifike mahala tukubaliane kutokukubaliana tu.. Basi..!!1. Kupiga kura ni hiari
2. Kila mtu anauhuru kamili kuchagua....
yani hawa ndio wanaisumbua ccm? kweli mnakosa hoja au kufikiria, kuhangaika kufungua thread kila baada ya dk tano ni kuonyesha pamoja uwingi wenu bado hamjiamini. ili lilikuwa swala la kukaa kimya tu maana uachokifanya hapa ni kama kuogopa kupeleka mifugo ziwani kunywa maji kuwa ziwa litakauka.CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Kama angekua anawaonea wivu watu wenye pesa nazani angetakiwa kuwaonea wivu akina dangote,Mo dewj na wengine lkn sio DiamondHuu wivu ni kwa sababu ya umasikini wako tu ama?
Hii hoja Naona ya kitoto Sana sizani Kama watu wakimkosoa uyo jamaa yenu wanakua wanamuonea wivu kwa izo pesa alizonazo .Ni kawaida ya masikini kumchukia tajiri