Siipendi CCM, lakini nawakumbusha wanaharakati wa Twitter kuwa huwezi kuua muziki mzuri, kujaribu kumshusha Diamond Platnumz ni uzuzu

Nimekuwa lagos pia, na zaidi niko na wana wa Nigeria huku, kunapokuwa kwenye party basi Diamond anapigwa sana....anajulikana, Konde Boy pia ila siyo kama Diamond, Kiba ndiyo zero kabisa. Sorry nampenda Kiba ila huo ndiyo ukweli

Never buy ur BS.
 
Kwahiyo unamtishia diamond kwa hiyo kura yako ambayo miaka na miaka, imeshindwa kwang'oa CCM madarakani?

Wakati huo uovu wa serikali unatendeka,wewe usie na chochote cha kupoteza ulichukua hatua gani zaidi ya kubweka nyuma ya keyboard? Leo hii diamond aliekuwa na vingi vya kupoteza ndo ulitegemea ajitoe mhanga kwaajili ya Kenyonyo kama wewe? Hebu kuwa serious bwana😂.

Wakati ule viongozi wenu wanahamasisha maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi ulijitokeza? Kama hukujitokeza kwa kuogopa, Diamond ni nani hata ajaribu kutia kiherehere?

👉🏿Wangapi walijitoa muhanga kupinga serikali, lakini walivyokamatwa mkaishia mitini na kuishia kuweka hashtags zenu huku wao wakiozea rumande? Unadhani leo hii diamond hashtags zenu zingemsaidia nini? Watoto wake, na familia yake yote kwa ujumla ingekula hizo hashtags zenu?😂

Hebu acheni hoja za kipumbavu na roho za kichawi.
 
Kwahiyo unamtishia diamond kwa hiyo kura yako ambayo miaka na miaka, imeshindwa kwang'oa CCM madarakani...

1. Kupiga kura ni hiari

2. Kila mtu anauhuru kamili kuchagua

3. Benefits need be weighted mutually

👇

Ubora wa mtu nikuheshimu

1. Utu wa mwanadamu

2. Kukemea Uovu na unyanyasaji wa watu

3. Kutetea haki za watu

Tumeona Tanzania
  • Watu kupotezwa
  • Watu wasiojukikana
  • Kupigwa risasi
  • Kunyimwa uhuru wa kujumuika
  • Kufunguliwa mashitaka bandia
Kuumizwa
Nk

Diamond hajawahi kuinuwa mdomo wake kukemea uovu na waovu.

Aibu kuwa na wasanii wasiotambuwa thamani ya wapenzi wao, mashabiki na raia wenzao
 
Wakati huo huo UNAFIKI wa domo kukemea maovu ya Nigeria huku akiyanyamazia maovu ya Tanzania na kuwa karibu na maccm chama cha wahuni na mafisadi ambacho ni chanzo cha matatizo yote ya Watanzania huuoni!? 😳😳
Siku mbowe akikwambia akunyandue nahisi utakubali
 
1. Kupiga kura ni hiari

2. Kila mtu anauhuru kamili kuchagua....
We mpigie unayemtaka, kama ukilivyosema kwamba kila mtu ana uhuru wake kwenye kuamua nani ampigie kura..!!! Ifike mahala tukubaliane kutokukubaliana tu.. Basi..!!
 
yani ccm inogopa hawa watu hawazidi hata kumi
CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
yani hawa ndio wanaisumbua ccm? kweli mnakosa hoja au kufikiria, kuhangaika kufungua thread kila baada ya dk tano ni kuonyesha pamoja uwingi wenu bado hamjiamini. ili lilikuwa swala la kukaa kimya tu maana uachokifanya hapa ni kama kuogopa kupeleka mifugo ziwani kunywa maji kuwa ziwa litakauka.
 
Hayo maoni yako hatupingi.
Kwahiyo Na wewe usiwapangie wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…