Mie si mpenzi wa mondi kiivyo ila ifike mahala wa2 wawe fair kwenye kulinganisha hii story ya wizkidayo-Naija na bongo. Huko naija unaweza kuwa mpinzani na usidhurike.Wanaharakati wenyewe wanasimamia hukuView attachment 1805129
Harmonize ameenda naija, amekaa kwa mda gani...?Acheni kumpaisha huyo mpuuzi wenu ,eti mwanamuziki mkubwa dunia wtf?? Hamonaiz alienda naija alishangaa kwamba jamaa yenu hapigwi kabisa tofauti na wanavyojitapa.
Kama yeye alihamasisha kwenye majukwaa wasiwapigie kura wanaharakati basi na yeye zamu yake wacha wanaharakati wahamasishe na yeye asipigiw kura..UBAYA UBAYA TU.
Tatizo lenu mmekasirika bila sababu ya msingi. Ni wapi mlipolazimishwa?? Nani kawalazimisha au mnajilazimisha wenyewe. Mwacheni kijana na ale maisha mzebaba chuki zitakuua mapema shauri yako 😂😂. Na hayo ndo maisha ya wasanii sio hapa tu ata mbele show off ndo ishu zao izo labda kama we ni mpenzi wa msondo ngoma ndo hujui kua hayo ndo maisha yao.Show off gani ,ushamba tu unamsumbua uyo dogo.Ebu acheni kumpa kichwa nyie ndo mnamharibu Kama unapenda mziiki wake mpigie kura sio kuja na stori za kwamba Ana hela sijui ndo maana tunamchukia hela zake zinanisaidia Nini mimi awe Hana anazo sitaki hata kujua but the point is watu wote hatuwezi kufata anachotaka uyo dogo msitulazimishe .
muunge wewe na wazungu wenzio huko, sisi huku tunatembea na Burna boy, kijana makini kutoka pande za tarimeDiamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".
Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.
Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.
Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?
ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.
CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
unachoongea ni sahihi kuwa siasa za tz hazina muelekeo.Napata wasiwasi sana na Hawa watu,mbona wanaonekana wazi ni watu wa visasi na vinyongo sana.
Ila siasa ya waTZ naona ipo tofauti kidogo na Africa nzima,watu wamesahau katiba wamegeukia kwenye ushindani wa muziki na Sasa wapo wapo tu
Hatuna chuki nae Ila izo propaganda za kutuaminisha kwamba yeye ni Bora kuliko wengine ndo hatuzitaki watu wapige kura wanapotaka uzalendo kwenye issue za mziki .mziki Hauna mipaka unampenda Wizkid mpigie kura ashinde maana ndo unaenjoy mziki wake sio nikichagua uko nionekane namchukia mtu flani.Tatizo lenu mmekasirika bila sababu ya msingi. Ni wapi mlipolazimishwa?? Nani kawalazimisha au mnajilazimisha wenyewe. Mwacheni kijana na ale maisha mzebaba chuki zitakuua mapema shauri yako [emoji23][emoji23]. Na hayo ndo maisha ya wasanii sio hapa tu ata mbele show off ndo ishu zao izo labda kama we ni mpenzi wa msondo ngoma ndo hujui kua hayo ndo maisha yao.
Hakuna mtu anayekulazimisha diamond aonekane ni Bora kuliko wengine Bali mafanikio yake ndio yanayomdefine yeyeHatuna chuki nae Ila izo propaganda za kutuaminisha kwamba yeye ni Bora kuliko wengine ndo hatuzitaki watu wapige kura wanapotaka uzalendo kwenye issue za mziki .mziki Hauna mipaka unampenda Wizkid mpigie kura ashinde maana ndo unaenjoy mziki wake sio nikichagua uko nionekane namchukia mtu flani.
Sasa kwanini mtu akisema anataka kumpigia kura mtu mwingine anaonekana Ana chuki na uyo dogo?Hakuna mtu anayekulazimisha diamond aonekane ni Bora kuliko wengine Bali mafanikio yake ndio yanayomdefine yeye
Shida sio kutompigia kura yeye shida ni hiyo nguvu mnayotumia kumpinga mpaka kuanzisha kampeni ndio inaashiria mnaendeshwa kwa chukiSasa kwanini mtu akisema anataka kumpigia kura mtu mwingine anaonekana Ana chuki na uyo dogo?
All in all nafuu niwapigie wa Naijja kwa kuwa unapigia kitu original. Kumpigia kura Diamond anayekopi mahadhi za wa Naijja ni kupigia photocopy.Mie si mpenzi wa mondi kiivyo ila ifike mahala wa2 wawe fair kwenye kulinganisha hii story ya wizkidayo-Naija na bongo. Huko naija unaweza kuwa mpinzani na usidhurike.
Hiv mnamkumbuka magu? Mondi angeleta jamba jamba kipindi cha magu leo hii ile wasafi media isingekuwepo. Angeshapigwa pini na wa2 wasiojulikana mida hii si ajabu angekuwa uhamishoni kama roma mkatoliki!
Huwezi fananisha d3mokrasia ya naija au uganda kwa kina bobby wine na bongo. Kifupi mondi alikuwa akihemea usalama na ugali wake. Wengi wenu mngekuwa kwenye nafasi ya mondi mngefanya hivyo hivyo, tusidanganyane. Maandamano yakiitishwa mnafyata mkia hamuendi, mpo kwenye keyboard zenu tu.
We jamaa mbona kama tunalazimishana? Halafu nikwambie kitu hakuna anaetaka kumshusha diamond ni ufinyu wako wa kuelewa ndio umekupeleka chaka, na kinachoendelea sasa kimezidi kumpaisha huyo jamaa yako kwenye hizo tuzo,Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo nilishuhudia karibu 90% ya muziki uliokuwa unapigwa basi ulikuwa ni wa Diamond ama msanii wa kundi lake, wakizidi sana walikuwa wanapiga muziki wa Nevy Kenzo "kamatia chini".
Ni akili iliyojaa matope tu kujaribu kuzuia nyota wa pop wa Tanzania Diamond Platnumz eti asishinde tuzo za BET2021 eti kwa sababu aliiunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Huyu kijana nyota licha ya kwamba ana kipaji ni mtu mwenye juhudi zisizo na mfano hasa ukichukulia kwamba anatoka nchi iliyojaa vijana wavivu wa kufikiri na wasio na juhudi ya kutafuta mali.
Diamond Platnumz ameajiri vijana wengi sana na hivyo kuboresha maisha ya watanzania wengi bila ya kujali itikadi zao.
Diamond ni mfanya biashara hivyo hachagui afanye kazi na nani, hata siku CHADEMA wakija na pesa ndefu kwa nini asimuimbie Mwenyekiti Mbowe, kamanda wetu asiyetetereka?
ACHENI WIVU WA KIJINGA MUUNGENI MKONO KIJANA, LAKINI PIA MJUE KWAMBA SIYO KILA CHADEMA BASI ANAKUBALIANA NA NYIE, NA KWAMBA KILA ASIYEKUBALIANA NANYI BASI NI MATAGA.
CC: Martin M, Maria Sarungi, Kigogo et al mnazingua. Nilijua mna akili kumbe hakuna kitu.
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Umeshawahi kujiuliza kwanini diamond kwanini kakaa kimya kwenye hili?Napata wasiwasi sana na Hawa watu,mbona wanaonekana wazi ni watu wa visasi na vinyongo sana.
Ila siasa ya waTZ naona ipo tofauti kidogo na Africa nzima,watu wamesahau katiba wamegeukia kwenye ushindani wa muziki na Sasa wapo wapo tu
Msolo, usimpangie mtu cha kufanya au kutofanya. Hilo la kushughulika na wabunge na Mawaziri wanaofanya blunder tunakuachia wewe.Usipojua adui yako nani utapigana vita isiyosahihi. Nguvu hii inayotumika sasa kwa Diamond ingetumika kwa watu wanaotunga na kusimamia sheria mbovu hasa bungeni na serikalini ingekuwa na tija kiasi.
Ila zaidi Kigogo anawakokota watu wengi kutoka kwenye hoja za msingi zinahohitajika hasa kwa mstakabali wa Taifa zima.
Kudili na watu kama wasanii wakati kuna wabunge na mawaziri wanaofanya blunder nyingi tu na kuzikalia kimya ni unafiki sana.
akili matope, diamond ana muziki upi duniani?Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,