mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa na maisha mengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mimi huwa nawaasa kila wakati,kwamba sio kila ngazi itwasaidia kupiga hatua zenu kisiasa,nyingine mnagusa maisha ya kawaida ya ndugu zenu mtaani.watawapuuza.
Sasa tuzo ya BET now sio mond na burna tena,ila chadema pia.
mond ana wasiomsaport,ila ni mashabiki wa kiba na kondegang sio mashabiki wa chadema,wajinga sana chadema.