Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

FB_IMG_16950521972403280.jpg

Siwezi kuishi na bondia ndani mimi
 
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona.

Lkn kwangu ni tofauti mimi ni
mama wa watoto 2, baba wawili tofauti...
Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol

2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri lkn tuliishi miez 2 tu nikaondoka na mimba juu ya miez 6...
tatizo nililonalo mkorofi, yan mbabe ukikaa vibaya mwanaume tunashikana tupigane,, au nichukue kitu nikupige nacho ninamaneno nikianza kuongea shombo hata usiku kucha...mwanzo sikujua tatizo nn niliishia kuwalaumu wanaume na kujiona ninamkosi lkn seriously mi sio mwanamke wa kuishi na mwanaume aisee ...

Mungu kanibariki sura nzuri nyota ya kupata wanaume wa kuniona wapole na wenye kipato kizuri tu tatizo wanakimbia tabia.

2017 nikapata mume mwingine mpole kaka wa watu japo anakaumalaya lkn nimtu peace sana tumezaa mtoto 1,, kaka anapata tabu huyu jaman ...
Tunaweza kaa vizuri tu gafla kuna hali inanitokea ya kuanzisha ugomvi tu ambao haueleweki nitalia usiku kucha ....

Nikikuta msg ya mwanamke kwenye cm nitapasua cm yake, vitu ndan navunja ...baada ya muda hali inapotea naanza kujuta nalia...
Nikikaa wiki mbili bila ugomvi gafla from no where natafuta ugomvi tu bila sababu yani nikiwaza tu kwamba tunasiku nyingi hatujagombana kosa la jinai
alafu baada ya muda mfupi narudi kwenye hali ya kawaida ya kujuta sana na kushangaa kwann nimefanya haya...

Nimekaa nae nimemwambia tuachane maana naona namtesa kaka wa watu lkn hataki unakuta sipendi kua hivi ananiambia anaimani ipo siku nitabadilika
Mi naona atachoka tu nayeye hata hivyo kanivumilia sana sijui kwann hataki kukubali kuachana
Inaniuma tumeishi tangu 2017 maisha haya haya bila ndoa lkn cha ajabu anataka tuandikishe ndoa tubariki nashindwa kuelewa yeye hachoki haya maisha?? Sio mchoyo, ananipa kilakitu kilichondani ya uwezo wake lkn muda wote nalalamika tu
yeye weakness yake anapenda wanawake na akiwa nao kwenye mahusiano analalamika namnyanyasa mi roho inaniuma namwambia sababu tulianza 0 kwa sasa tunamafanikio na hiyo inatokana na akili yangu ya maendeleo..nimemwambia anipe mil 5 tu kama mtaji ,
nyumba nimwachie na viwanja, mifugo lakini hataki kuachana na mimi anasema wewe ni mke wangu hakuna kwenda popote

Kunakipindi alitembea na rafiki yangu tangu nilipogundua hali ndio ikazidi ya ukorofi ni miez 7 lkn nikikumbuka naanzisha ugomvi as if ndio nimemfumania leo..
Nifanyeje jmn either nikae Sawa au niondoke bàdo mapema maana huyu siku akichoka sijui atanifanya nn.

Akipokea mshahara wote ananipa anachukua ya matumiz yake nyingine ananipa mimi ndio napanga ya kula nyingine naweka akiba...kiufupi namimi mbali na hii tabia, nimwanamke wa maendeleo napambana pia nina akili ya maisha hii imetupelekea kupata maendeleo ndani ya muda mfupi..
Nenda kwenye maombi, Mungu hashindwi jambo lolote.
 
Wee unatakiwa uzalishwe Watoto 7 Fasta utatulia tuuu na Utakuwa Mpole na Adabu Coz hao Watoto ndo Watakutuliza kichwa Chako wanawake Kama Nyie Mko hivyo wengi Mna Sura Nzuri na Maumbo Mazuri Ndo Maana unavimba Hata ukiachwa Leo Mwezi humalizi ushapata Mwingine Sasa dawa ni Watoto tuu
 
Jana Jumapili Kuna Jamaa Anatoka Kanda Maalum Ambayo Ina Ma~RPC Saba Ndani Ya Mkoa
Akasema Miaka Ya 1985 Kama Yake Kudumisha Mila Alikuwa Anampiga Mkewe Mara 2 Kwa Mwezi Halkuna Tatizo Ila Itatafutwa Nongwa Tu
 
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona.

Lkn kwangu ni tofauti mimi ni
mama wa watoto 2, baba wawili tofauti...
Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol

2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri lkn tuliishi miez 2 tu nikaondoka na mimba juu ya miez 6...
tatizo nililonalo mkorofi, yan mbabe ukikaa vibaya mwanaume tunashikana tupigane,, au nichukue kitu nikupige nacho ninamaneno nikianza kuongea shombo hata usiku kucha...mwanzo sikujua tatizo nn niliishia kuwalaumu wanaume na kujiona ninamkosi lkn seriously mi sio mwanamke wa kuishi na mwanaume aisee ...

Mungu kanibariki sura nzuri nyota ya kupata wanaume wa kuniona wapole na wenye kipato kizuri tu tatizo wanakimbia tabia.

2017 nikapata mume mwingine mpole kaka wa watu japo anakaumalaya lkn nimtu peace sana tumezaa mtoto 1,, kaka anapata tabu huyu jaman ...
Tunaweza kaa vizuri tu gafla kuna hali inanitokea ya kuanzisha ugomvi tu ambao haueleweki nitalia usiku kucha ....

Nikikuta msg ya mwanamke kwenye cm nitapasua cm yake, vitu ndan navunja ...baada ya muda hali inapotea naanza kujuta nalia...
Nikikaa wiki mbili bila ugomvi gafla from no where natafuta ugomvi tu bila sababu yani nikiwaza tu kwamba tunasiku nyingi hatujagombana kosa la jinai
alafu baada ya muda mfupi narudi kwenye hali ya kawaida ya kujuta sana na kushangaa kwann nimefanya haya...

Nimekaa nae nimemwambia tuachane maana naona namtesa kaka wa watu lkn hataki unakuta sipendi kua hivi ananiambia anaimani ipo siku nitabadilika
Mi naona atachoka tu nayeye hata hivyo kanivumilia sana sijui kwann hataki kukubali kuachana
Inaniuma tumeishi tangu 2017 maisha haya haya bila ndoa lkn cha ajabu anataka tuandikishe ndoa tubariki nashindwa kuelewa yeye hachoki haya maisha?? Sio mchoyo, ananipa kilakitu kilichondani ya uwezo wake lkn muda wote nalalamika tu
yeye weakness yake anapenda wanawake na akiwa nao kwenye mahusiano analalamika namnyanyasa mi roho inaniuma namwambia sababu tulianza 0 kwa sasa tunamafanikio na hiyo inatokana na akili yangu ya maendeleo..nimemwambia anipe mil 5 tu kama mtaji ,
nyumba nimwachie na viwanja, mifugo lakini hataki kuachana na mimi anasema wewe ni mke wangu hakuna kwenda popote

Kunakipindi alitembea na rafiki yangu tangu nilipogundua hali ndio ikazidi ya ukorofi ni miez 7 lkn nikikumbuka naanzisha ugomvi as if ndio nimemfumania leo..
Nifanyeje jmn either nikae Sawa au niondoke bàdo mapema maana huyu siku akichoka sijui atanifanya nn.

Akipokea mshahara wote ananipa anachukua ya matumiz yake nyingine ananipa mimi ndio napanga ya kula nyingine naweka akiba...kiufupi namimi mbali na hii tabia, nimwanamke wa maendeleo napambana pia nina akili ya maisha hii imetupelekea kupata maendeleo ndani ya muda mfupi..
Dudu tu, yes.... dawa yako ni dudu tu.

Yaani ukiaza ugomvi nakuweka kona nakubana then mipigo ya kibabe, mandingo style
 
Mnyanduo baada ya ugomvi unakuwaga mtamu sana, njoo unigombeze halafu baadae nikunyandue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mapepo ya hasira au jini mahaba anayekumiliki hivyo hataki utulie kwenye ndoa .......

Unahitaji maombi, tafuta kanisa hasa la kilokole , upate msaada mapema.
 
Tafuta daktari wa magonjwa wa akili.
Una shida ya kuhandle relationship.
Je katika utoto wako ulikuwa unaishi vipi na marafiki zako?
Mtu akikukemea toka ukiwa mdogo ulikuwa unarespond vipi?
 
Back
Top Bottom