Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

You need spiritual healing
Sasa utachagua mwenyewe wende kwa sheikhe,mchungaji au kina mshana


Sorry to ask this
Unaumri gani?
 
Je, unagombana na watu wengine huko mtaani au ni kwa wale uliopo nao kwenye mahusiano ya kimapenzi?
Watu wa nje hapana...wa ndani, Mfano watoto , wasaidizi wa kazi yan muda mwingi kuwafokea tu hata wakikosea kidogo..watu wa nje wananiona mimi mpole sana
 
Mkuu unaweza kunisaidia kuvipata?? Napoelekea nitapoteza kilakitu.
 
Afya ya akili
 
Hayo ni matatizo ya akili, wahi hospitali!
 
Hivi ni kabila gani lile mwanamke bila kupigwa haoni raha ????
 
Pole sana, wanawake wengi mna vimagonjwa vya akili ila hamjijui, na ndo ile misemo ya kutoeleweka kwenu inatokana kwayo.

Omba Mungu, lakini pia nenda kwa wanasaikolojia usaidiwe
 
Kama n Mkurya hiyo Kawaida!! Kama siyo basi Kuna Roho chafu ndani yako kama unamuamini Mungu jitaidi sana kuomba kama piah unamini mizmu Yani Imani yeyote ile unayo iamini maana haya mamb yapo kiroho zaidi vitu vingine labda vilisababishwa huko nyuma

Kingine tafuta Wana Saikolojia wakusaidie
Pole kwa hiyo Hali Madam Mungu akusaidie
 
Pepo
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…