This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Hujui hata aliyemleta Aucho, unapanua domo tu. Shabiki maandazi kufikiri unajua kumbe yooooMuwahini Aucho akawaokoe maana mpaka msubiri yanga atafute wachezaji kisha mpanue madomo kuwataka.
Au kanoute, banda, sakho, kibu wanawatosha?
Mchawi siyo mpaka aruke na ungo, hata wewe una viashiria vya kichawi.Habari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Wenye akili timamu huko ni Mzee Sunday Manara na Mzee JK tu waliobakia wote ni mazwazwaUtopolo huwa hamtuliagi, badala muweke juhudi za kushinda game za league mnahangaika na mnyama
Hapana mimi ni shabiki wa Simba
Ila nimeandika kwa kuzingatia hali ya kikosi kilichopo sasa
Hivi huwa mnarudi kusoma upuuzi mlioandika humu baada ya mechi?No 6= lwanga, mnaemuita mkata umeme.
Imekuaje tena, hafai au hakati kama tanesco?
No 10, Bwalya, mnarmuita magician mtu wa miujiza, vip tena hachezi vzr au hana miujiza yyte?
No 9, Kagere mnaemuita the ball striker. Imekuaje tena, hafungi vzr?
Basi tutawapa Aucho bure, maana mtasingizia kua mlimkosa Aucho ndo maana mkatolewa na makhirikhiri na wapiga mishale myekundu.
shabiki wa Simba wa nyokooo???Hapana mimi ni shabiki wa Simba
Ila nimeandika kwa kuzingatia hali ya kikosi kilichopo sasa
Mkuu endelea kufuatilia bongo fleva, achana na mpiraWachezaji wa Botswana na wa Zambia ni tofauti
Timu ndogo hata ulaya huwa ZINANYANG'ANYWA wachezaji na timubkubwa..Muwahini Aucho akawaokoe maana mpaka msubiri yanga atafute wachezaji kisha mpanue madomo kuwataka.
Au kanoute, banda, sakho, kibu wanawatosha?
Kwa hiyo hakuna mechi ya marudiano tena? Tatzo la mbumbumbu hua mnajisahau sana. Makhirikhiri ilkua hivi hivi, 3-0 lkn zikachomolewa zote.Hivi huwa mnarudi kusoma upuuzi mlioandika humu baada ya mechi?
Bora sisi, siyo aibu walowapa wale gia river, uto walitoka kwa aggregate ya ngapi ngapi?Kwa hiyo hakuna mechi ya marudiano tena? Tatzo la mbumbumbu hua mnajisahau sana. Makhirikhiri ilkua hivi hivi, 3-0 lkn zikachomolewa zote.
Shida uto mnaroga uwanja kwa kusota na makalio, mwisho aibu kwenu wenyeweKwa hiyo hakuna mechi ya marudiano tena? Tatzo la mbumbumbu hua mnajisahau sana. Makhirikhiri ilkua hivi hivi, 3-0 lkn zikachomolewa zote.
Jana Mungu kausafisha uwanja wote, ile mvua na yale maji hakijabaki kitu...Shida uto mnaroga uwanja kwa kusota na makalio, mwisho aibu kwenu wenyewe
Achana na mpira mkuu, sio fani yako!Hapana
Ila kwa aina ya kikosi tulichonacho sasa hatuwezi pata ushindi wa kutosha hapa kutufanya twende kule tukaudefend au hata kushinda kabisa.
Haya. Mwambie jaji kuwa huwa unarudi kusoma upuuzi wako na unaongeza mwingine.Kwa hiyo hakuna mechi ya marudiano tena? Tatzo la mbumbumbu hua mnajisahau sana. Makhirikhiri ilkua hivi hivi, 3-0 lkn zikachomolewa zote.
Tuktane hapa jpili jioni tujadili.Haya. Mwambie jaji kuwa huwa unarudi kusoma upuuzi wako na unaongeza mwingine.
AiseeeeHabari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.