Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Habari wakuu,

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Mchawi siyo mpaka aruke na ungo, hata wewe una viashiria vya kichawi.
 
No 6= lwanga, mnaemuita mkata umeme.
Imekuaje tena, hafai au hakati kama tanesco?

No 10, Bwalya, mnarmuita magician mtu wa miujiza, vip tena hachezi vzr au hana miujiza yyte?
No 9, Kagere mnaemuita the ball striker. Imekuaje tena, hafungi vzr?

Basi tutawapa Aucho bure, maana mtasingizia kua mlimkosa Aucho ndo maana mkatolewa na makhirikhiri na wapiga mishale myekundu.
Hivi huwa mnarudi kusoma upuuzi mlioandika humu baada ya mechi?
 
Hivi huwa mnarudi kusoma upuuzi mlioandika humu baada ya mechi?
Kwa hiyo hakuna mechi ya marudiano tena? Tatzo la mbumbumbu hua mnajisahau sana. Makhirikhiri ilkua hivi hivi, 3-0 lkn zikachomolewa zote.
 
Kwa hiyo hakuna mechi ya marudiano tena? Tatzo la mbumbumbu hua mnajisahau sana. Makhirikhiri ilkua hivi hivi, 3-0 lkn zikachomolewa zote.
Haya. Mwambie jaji kuwa huwa unarudi kusoma upuuzi wako na unaongeza mwingine.
 
Nasikia jamaa wamejipanga piga ua Morrison hachezi kwao
 
Yani ww upo zako nakapanya umekula magimbi yako umeshiba unasema siipi simba ushindi!
Sawa kama wewe ndo mtoa ushindi na usiipe,,,
 
Habari wakuu,

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Aiseeee

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom