changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Umekalili mkuu tp mazembe sio timu ngumu bali timu yenye jina kubwa.Ktk michuano hii timu ngumu kwa simba ni Mazembe tu zingine zote ni za kawaida.
Mimi nawapa simba nafasi ya kufika finalise safari hii.