Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Simba wanaweza kurudi kapa toka Zambia ukakalia matako chini kabisa ardhini..!! 😛 😛 😛
 
Simba akienda kucheza namna alivyocheza na geita gold basi tegemea 4G .. naipa nafasi Simba ya kupata ushindi Zambia ila sio kwa asilimia 100
 
Nachokishangaa chimba, Thimba Morrison sigara bwege kawa athletes kwenye timu na wanamuwazia Sasa itakuwaje ukifika muda wa mwezi mchanga maana amekaribia kwenye miezi yake ya uhayawani
 
Hapana
Ila kwa aina ya kikosi tulichonacho sasa hatuwezi pata ushindi wa kutosha hapa kutufanya twende kule tukaudefend au hata kushinda kabisa.
Kwamba wanatufunga 4 bila sio? Hiuo haiwezekani wanaweza kupata goli mbili ila kwa moja maana simba hawezi kukosa goli ugenini.
 
Hakuna Namna ya Simba kuwatoa Red arrows.
 
Aisee simba haiwez kukulazimisha uipe nafasi kama hutaki acha
Habari wakuu,

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
 
😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋😋
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sawa mchambuzi huru
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom