Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Siipi Simba nafasi ya kuitoa Red Arrows

Habari wakuu,

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Hebu rudia tena wewe Kabwili

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Original Poster(OP) wa hii thread ghafla alianza kujiona Nabii pale Score board ikiwa 2-0(Red Arrows-Simba) [emoji16][emoji16]

Ila kwa sasa akili yake nahisi anaona kama imejaa vyura tu[emoji196][emoji196]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tushukuru tu tumefuzu kibishi ila team yetu bado sana kama wachezaji wenyewe ndio hawa akina kanoute na Bwalya
 
Tushukuru tu tumefuzu kibishi ila team yetu bado sana kama wachezaji wenyewe ndio hawa akina kanoute na Bwalya
Baada ya huu uzi wako kubuma unaanza tena kuharibu kwa tabiri zako mbovu.
Kama unajua soka kweli embu weka akiba ya maneno kwenye soka chochote kinaweza kutokea
 
Baada ya huu uzi wako kubuma unaanza tena kuharibu kwa tabiri zako mbovu.
Kama unajua soka kweli embu weka akiba ya maneno kwenye soka chochote kinaweza kutokea
Tumefuzu kibahati tu kaka ila team yetu bado sana,uzuri hata mtendaji mkuu jana kakiri hilo baada ya mchezo
 
Habari wakuu,

Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.

Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Bado una mtazamo huu huu?
 
Bahati tu mkuu ndio imetuvusha
Ila tusingetoboa kabisa nadhani ile mvua dsm ilitunufaisha zaidi sie
Nadhani hata wewe unajua hali ya team yetu kiuchezaji kwa sasa
Hapana sio bahati mkuu wangu.. Ni mipango na mikakati na kuchukua hatua za haraka pale tulipokosea kabla.. Mimi naiona kabisa Simba mpya inayoimarika
 
Tumefuzu kibahati tu kaka ila team yetu bado sana,uzuri hata mtendaji mkuu jana kakiri hilo baada ya mchezo
Timu itakaa sawa wachezaji wenyewe washasoma alama za nyakati ikiwa hawatajituma basi nusu kikosi msimu ujao wanaweza wakaachwa.
 
Back
Top Bottom